Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Oh sawa.Ijumaa ya baraka (heri).
Jumma inamaanisha "Ijumaa" na Mubārak anatafsiri kama baraka au "heri".
Kareem: ni ukarim (generous.
Kwa ufupi hizo ni dua za kuombeana heri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh sawa.Ijumaa ya baraka (heri).
Jumma inamaanisha "Ijumaa" na Mubārak anatafsiri kama baraka au "heri".
Kareem: ni ukarim (generous.
Kwa ufupi hizo ni dua za kuombeana heri.
... Kuna Ushahidi mwingi sana wa kijeolojia unaounga mkono nadharia ya 'EVOLUTION', kwamba binaadam, na viumbehai wote duniani, ni matokeo ya madiliko madogomadogo kutoka kemikali zenye tabia kanganyifu mpaka tulipo sasa.
... mimi kama binaadam mwenye dini nakubali mafundisho ya dini yangu lakini pia nakubaliana na nadharia ya 'EVOLUTION' ... kwamba maelezo yaliyo kwenye misahafu, kuhusu uumbaji, ni ufupisho tu wa kilichotokea HALISI Katika uumbaji ambao umepitia njia ndefu ya 'EVOLUTION'!
MAONI YAKO TAFADHALI!
Usizichukulie Nadharia kwa wepesi HUO! ... Nadharia zinasimikwa na facts na ndo mana zimeweza kututatulia matatizo kadha wa kadha ya kijamii, kisayansi, kitamaduni nk!Nadharia (theory) inabaki kuwa nadharia tu, siyo fact.
Nakubaliana nawe.
Tumeumbwa kwa njia ya evolution
Inaonekana ndiyo 'janja' ya Mungu kufanya uhai uwepo.
Makusudically ameweka mchakato ndiyo kufikia hatima fulani.
Atakayekataa kuhusu evolution yaani mageuko basi atuambie ni kwa nini anajikubali kuwa yeye ameumbwa na Mungu akiwa hivi sasa ana ndevu/matiti na mwanzo hakuwa nayo? Basi si achukulie kama ambavyo yeye amepitia mabadiliko ya ukuaji kama kiumbe basi akubali na sie tumepitia mabadiliko ya ukuaji kama spishi na kama ufalme eaaaaasy. Na haitabadili ukweli wa kwamba tumeumbwa.
Maisha ni mchakato wa mabadiliko ya kudumu na endelevu
Hiyo concept ya kuoana umeitoa wapi kwenye Quran?Unataka kufahamu nini?
Hizo zilikuwa za kibabe tu, soma kijana utanielewa. Sharia za ndoa zimeanzia baada ya kuja Mtume Muhammad (Salla Allahu alyahi Wasalaam) na kuwa rasmi.Nakupa mfano wa ndoa zilizokuwepo kabla ya dini ya uislam na ukristo,1.Ndoa ya Yakobo(Israeli) na Lea 2.Ndoa ya Ibrahim(Abraham) na Sara 3.Ndoa ya Isaka na Rebeka,hizo ni ndoa zilikuwepo kabla ya ukristo na uislam na wote hao walikuwa ni waebrania
Sio za kibabe hata kidogo,nnaelewa nnachokwambia Kwamfano Rebecca na Isaka,Rebeka aliulizwa kama yupo tayari kuolewa na Isaka au la! Hata ndoa ya Yakobo ni hivyohivyo,utaratibu wa ndoa ulikuwepo hata kabla ya hizi dini za ukristo na uislamHizo zilikuwa za kibabe tu, soma kijana utanielewa. Sharia za ndoa zimeanzia baada ya kuja Mtume Muhammad (Salla Allahu alyahi Wasalaam) na kuwa rasmi.
Sisi tunaamini Yaakoub ni Muislam.Sio za kibabe hata kidogo,nnaelewa nnachokwambia Kwamfano Rebecca na Isaka,Rebeka aliulizwa kama yupo tayari kuolewa na Isaka au la! Hata ndoa ya Yakobo ni hivyohivyo,utaratibu wa ndoa ulikuwepo hata kabla ya hizi dini za ukristo na uislam
Muhammad alivyo mwambia allah amwingize mwingizo mwema alimaanisha mwingizo gani?General Knowledge.
Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo unataka upatiwe majibu.
Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu.
Hapa ni kwa ajili ya kuelimishana na kujuzana bila kikomo, iwe swali lolote liwalo.
Update 1:
Tafadhalini tuulize maswali kiheshima . Heshima ni kitu cha bure na hii JF yetu pendwa inasomwa na wengi, tujiheshimu.
Update 2:
Siku kadhaa zimepita toka tuanzishe uzi huu na nimesikitishwa na aina ya maswali yanayoulizwa kwenye huu uzi.
Tumetowa fursa ya kuulizana na kila niwezapo kujibu au kutafuta majibu muafaka kutokana na hayo maswali na fursa ya wachangiaji kujibu maswali yatakayojitokeza ya "general knowledge" lakini hadi hii leo ni maswali machache sana yenye faida kwa wengi yameulizwa. Maswali yaliyojaa ni amma ya kutaka kuanzisha ubishi "ligi" na amma yamelenga mtu binafsi, hususan amelengwa mleta mada. Ni masikitiko makubwa sana.
Nnawashauri wote waliouliza maswali yenye kulenga binafsi na wale waliouliza maswali yenye kubomoa badala ya kujenga wabadilike na waanze kuuliza maswali yenye kujenga, kuelimisha, kutujaza hekima na maarifa.
Nilipoweka aina ya elimu niliyoisomea nilidhani ntakumbana na kibano kikali kuhusu hilo na nijibu ili iwe faida kwa wengi lakini kwa bahati mbaya au nzuri hakuna hata mmoja aliyeuliza swali lolote kuhusu hilo.
Isitoshe, mna fursa ya kuuliza kuhusu chochote. Ndege, mimea, dunia, sayari, nyota, maajabu, maswali yasiyokuwa na majibu, viumbe kwa ujumla vinavyojulikana na visivyojulikana, maajabu ya duniani, elimu na vitu vingi kama hivyo na vinginevyo.
Nnauhakika wale walioleta maswali ya kiajabu ajabu ya ubishi wana mengi sana ya kuuliza yanayoweza kuwapa faida wengi na kuna wengi kati yao wana mengi wanayajuwa na wanaweza kuchangia kwenye majibu kwa faida ya wengi.
Ombi langu kwa wote ni tuboreshe aina ya maswali na majibu.
Karibuni.
Sawa sipingi unachoamini,ila kulingana na Biblia Yakobo ambae ni mtoto wa Isaka ni muebrania,jina lingine anaitwa Israeli (alipewa na malaika hili jina,linamaanisha mtu anaepigana kwa kumtegemea Mungu),alikuwa na watoto12 wa kiume ambao ndio makabila 12 ya Israeli,kwaiyo hao watoto wake ndio taifa la Israeli ya kale,kabila la Yuda ndio kabila ambalo Yesu Kristo alizaliwa ndiosababu anaitwa myahudi. Sorry uislam ulianza mwaka gani?Sisi tunaamini Yaakoub ni Muislam.
Uislam upo, hata mwadam wa kwanza duniani aliukuta.Sawa sipingi unachoamini,ila kulingana na Biblia Yakobo ambae ni mtoto wa Isaka ni muebrania,jina lingine anaitwa Israeli (alipewa na malaika hili jina,linamaanisha mtu anaepigana kwa kumtegemea Mungu),alikuwa na watoto12 wa kiume ambao ndio makabila 12 ya Israeli,kwaiyo hao watoto wake ndio taifa la Israeli ya kale,kabila la Yuda ndio kabila ambalo Yesu Kristo alizaliwa ndiosababu anaitwa myahudi. Sorry uislam ulianza mwaka gani?
Sifaham maana yake,unamaanisha Adam alikuwa muislam? Na kwanini uislam unahusishwa na mtume Muhammad ambae yeye hakuwepo tangu mwanzo? Muhammad ni nan katika uislam?Uislam upo, hata mwadam wa kwanza duniani aliukuta.
Unajuwa maana ya neno Uislam?
Na Adam aliukuta uislam ukiwa umeletwa na nan na kutoka wapi?Uislam upo, hata mwadam wa kwanza duniani aliukuta.
Unajuwa maana ya neno Uislam?