Uliowaita waje kujibu hawajaja.Nimejibu, pitia post chache baada ya swali lako kuhusu "ban".
Uliowaita waje kujibu hawajaja.
Pia haukujibu swali ulilielekeza sehemu ambapo uliamini linaweza kujibiwa.
Usingesema umenijibu wakati hujajibu.
Kuna tofauti ya "nimejibu" na "nimekujibu"? Kama ipo fafanua.Nisome tena, sikusema "nimekujibu" nimesema "nimejibu".
Isitoshe, soma vizuri post namba moja, utakutana na haya:
"Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu."
Shukraan mkuu [emoji120]Pia nami nakupenda sana..Nifah
Nakukubali zaidi ya maelezo.
Thanks sana Mkuu.Shukraan mkuu [emoji120]
Karibu.Thanks sana Mkuu.
Naomba nije PM mara moja if you don't mind..Nifah!
AhsanteKaribu.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Naam, majini nafuga samaki wa maji baridi. Sipandishi, wanapandana wenyewe.
Mwanamke yeyote akidai talaka pasipo mmewe kuitoa Yan mke unalazimisha kuachwa unapaswa uikomboe Kwa kuilipia either mahari aliokupa alipotaka kukuoa au akikwambia umpe laki tano unapswa kuitoa ndo unakua umekomboa talaka n kama unainunuaTalaka inakombolewaje?
Asante mamyto.Vipi ukishatoa kiasi hicho kama mlikuwa na mali mtagawana?Mwanamke yeyote akidai talaka pasipo mmewe kuitoa Yan mke unalazimisha kuachwa unapaswa uikomboe Kwa kuilipia either mahari aliokupa alipotaka kukuoa au akikwambia umpe laki tano unapswa kuitoa ndo unakua umekomboa talaka n kama unainunua
Swala la Mali mamy n jingine inabidi utafte mwenye ilmu zaidi atakusaidia me nimekusaidia napopafaham kuhusiana Na kukomboa talakaAsante mamyto.Vipi ukishatoa kiasi hicho kama mlikuwa na mali mtagawana?
Au hutakuwa na chako (mwanamke aliyeikomboa talaka)
Thanks.
Mamaafacebook tafadhali chagua maneno ya kuandika yasijeleta tafsiri isiyokusudiwa. Hakuna suala la kununua talaka soma sehemu ya fatwa toka alhidaayaMwanamke yeyote akidai talaka pasipo mmewe kuitoa Yan mke unalazimisha kuachwa unapaswa uikomboe Kwa kuilipia either mahari aliokupa alipotaka kukuoa au akikwambia umpe laki tano unapswa kuitoa ndo unakua umekomboa talaka n kama unainunua
Asante nashukriya Kwa ufafanuziMamaafacebook tafadhali chagua maneno ya kuandika yasijeleta tafsiri isiyokusudiwa. Hakuna suala la kununua talaka soma sehemu ya fatwa toka alhidaaya
Shukrani zetu za dhati kwa ndugu yetu muuliza swali. Hakika hili ni swali ambalo linajitokeza hasa katika karne iliyopita na hii kwa yale mashambulizi ambayo yanalimbikiziwa Uislamu kuwa haujampatia haki yoyote mwanamke. Jambo la talaka ni mojawapo.
Hakika ni kuwa mke anaweza kuomba talaka kutoka kwa mumewe katika hali zifuatazo:
Ikiwa anapata dhara kutoka kwa mumewe kama kumpiga, kutomtimizia tendo la ndoa kwa sababu yoyote ile, kughibu kwa muda bila kuwa na habari kumhusu na kadhalika. Hii inatokana na msingi wa Hadiyth ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) aliyesema: "Haifai kudhuru wala kulipana madhara" (Ahmad, Ibn Maajah, ad-Daraqutwniy).
Ikiwa mume hana istiqaamah katika Dini kama vile kuacha Swalah na kufanya maasi mengine mengi na makubwa.
Ikiwa mume hamtimizii mkewe haja zake za msingi kama kumtizama kwa chakula, malazi, matibabu na kadhalika.
Ikiwa mke hampendi tu mumewe, anaweza kuomba Khul'u (kujivua kwenye ndoa) na katika hali hii mke atabidi amrudishie mumewe mahari yake aliyompatia wakati wa harusi.
Hali hii ilitokea kwa Swahaabiyyah mke wa Thaabit bin Qays bin Shammaas:
عَنْ اِبْن عَبَّاس أَنَّ اِمْرَأَة ثَابِت بْن قَيْس بْن شَمَّاس أَتَتْ النَّبِيّ - صَلَّى اللَّه عَلَيْهِ وَسَلَّمَ - فَقَالَتْ يَا رَسُول اللَّه : مَا أَعِيبُ عَلَيْهِ فِي خُلُق وَلَا دِين وَلَكِنْ أَكْرَهُ الْكُفْرَ فِي الْإِسْلَام فَقَالَ رَسُول اللَّه صَلَّى اللَّه عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: ((أَتَرُدِّينَ عَلَيْهِ حَدِيقَته)) قَالَتْ : نَعَمْ قَالَ رَسُول اللَّه - صَلَّى اللَّه عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: ((اِقْبَلْ الْحَدِيقَة وَطَلِّقْهَا تَطْلِيقَة)) البخاري والنسائي
Kutoka kwa Ibn 'Abbaas kwamba mke wa Thaabit bin Qays bin Shammaas alikwenda kwa Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akasema: Ewe Mjumbe wa Allaah, silalamiki kwa tabia yake wala dini yake lakini nachukiwa kukufuru katika Uislamu. Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akamwambia: ((Je utamrudishia bustani yake?)) Akajibu: Ndio. Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akasema [kumwambia Thaabit]: ((Pokea bustani na muache talaka moja)) [Al-Bukhaariy na an-Nasaaiy]
Ama mwanamke kuomba talaka bila ya sababu yoyote ajue kwamba haifai na isitoshe hatopata kusikia harufu ya Pepo:
عَنْ ثَوْبَان مَوْلَى رَسُول اللَّه – صَلَّى اللَّه عَلَيْهِ وَسَلَّمَ – عَنْ النَّبِيّ – صَلَّى اللَّه عَلَيْهِ وَسَلَّمَ – أَنَّهُ قَالَ 🙁(أَيّمَا اِمْرَأَة سَأَلَتْ زَوْجهَا الطَّلَاق فِي غَيْر مَا بَأْس حَرَّمَ اللَّه عَلَيْهَا رَائِحَة الْجَنَّة)) الترمذي و قال حديث حسن
Kutoka kwa Thawbaan Mawlaa wa Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) kwamba Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Mwanamke yeyote anayemuomba mumewe talaka bila ya sababu yoyote, Allaah Amemharimishia harufu ya Pepo)) [At-Tirmidhiy na kasema Hadiyth Hasan]
Na Allaah Anajua zaidi
Una maanisha kama hicho chama kiligawana Pesa nasi tukajiunge nacho tupate fursa ya Rushwa ya 10 mil?Hizo "millioni kumi" mimi nnazisoma humuhumu JF, sijaona ushahidi wowote kwa hiyo siwezi kuziongelea zaidi ya kupiga porojo za hapa na pale kama ilivyo kawaida ya barza lolote lile. Si kila ukisikiacho ni ukweli, jee mwenzangu ulikuwepo wakigawana hizo "million kumi kumi"?
Hayo mengine yote uliyoyauliza ukipitia mkanda wa video wa Rais Magufuli alipoongea na waandishi wa habari Ikulu alishayajibu, sionisababu yamimi kujibu maswali amabayo Rais kishayajibu. Tazama hii:
Bila shaka hapo atakuwa hampendi na hivyo inabidi ajivue kwenye ndoa kwa kurudisha mahari. Haya yote yanafanyika mbele ya kadhi au sheikh muadilifu ambaye atayapima na kutoa nasaha.Asante nashukriya Kwa ufafanuzi
Mkuu je kama mke ameamua tu anataka aachwe Na yaligosemwa hapo Mme hutimiza?
Kugawana mali kutakuja tu kama ulishiriki direct kuichuma na share yako inajulikana. Nakusudia mfano mlinunua gari au nyumba na mkawa na umiliki wa pamoja ambapo mfano wa ukichangia asilimia 50 na mume 50. Hiyo ni haki yako kuchukua maana huhesabiwa ni mali yako. Lakini kama hukushiriki kuichuma basi hapo huwezi kudai maliAsante mamyto.Vipi ukishatoa kiasi hicho kama mlikuwa na mali mtagawana?
Au hutakuwa na chako (mwanamke aliyeikomboa talaka)
Thanks.