Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa



Naam, hizo ni chemchem za maji moto, zipo sehemu mbali mbali Tanzania na zipo nyingi sana na sehemu mbali mbali duniani. Kingereza zinajulikana kama "hot water springs" au "geysers".

Zingine zinakuwa za moto sana kiasi hakuna awezae kuzioga na zingine huwa vuguvugu na watu huweza kuoga.

Kutibu mapele ni kutokana na "minerals" virutubisho vilivyomo kwenye hayo maji.

Kuna chemchem kama hizo nyingi watu huamini kuwa kuna mizimu na huenda kufanya ada zao za kishirikina hapo.

Nchi zingine ni vivutio vikubwa vya utalii na utakuta sehemu kama hizo zimejengewa vizuri sana na watu huenda kujiburudisha kwa kuoga kwenye hayo maji ya moto:





Ni maji yaliyoingia chini ya ardhi kutokea ardhini na kufika kwenye miamba ya joto/moto na kurudi tena juu yakiwa ya moto. Tazama:



Soma uzi huu pia: Maajabu ya maji Moto kisaki(Hot spring)
 
Nyingi sio "nyini "!!!
 
Hapana, si neno moja. Kasome juu nimekueleza nini.
Kule uliniambia niandike kwa helufi ndogo ..... Sasa nalejesha swali....


Ni kweli mtukufu magufuli ametoka kwa MUNGU ilihali mambo yamezidi kuwa magumu kwa watanzania!?!?

1. Mkulima analia... Kijijini kuna wakulima zaidi ya elufu 10 cha ajabu mbolea ya ruzuku iliyotolewa na serikali ni mifuko 40 tu!!

2. Wahitimu vyuoni wanalia..... Mwaka wa tatu sasa serikali haijaajili na ukizingatia serikali ndo muajili Mkuu.

3. Wanafunzi wa Elimu ya juu hivi sasa wengi wao hawana mikopo na wengine wameacha kauendelea na Elimu ya juu tofauti na ilivyo kuwa kwa JK...

4. Hakuna Miundo mbinu inayoanzishwa mpya zaidi ya ile inayokamilishwa iliyoachwa na Jk....

5. Vyombo vya habari hivi sasa vina chaguliwa habari ya kutangaza ikiwa na kuzima bunge live

6. Sector ya afya imedolola hakuna maspecialiast wala dawa za uhakika....

7. Watu wachache kuwa na kinga Sheria isiwaguse.... Mf brother Kinda

Dada naomba uniweke Sawa au utuweke sawa .....

Magufuli katoka kwa MUNGU kweli?!?

na unavyosema uongozi wake uko sawa inamanisha hauyaoni haya!?!?
 
Jihad ni nini, kwa nani na kwanini?
 
Singular. .Plural
Blood. Bloods
Child. Children
Person People
Water. Water.
others words are correct.
 
Faiza shikamooooo we Nouma umenijibu vzr sana asanteeee
 
Usiwe na sababu ya kumpenda wala kumchukia ila ndio baba wa Taifa lako
Cheo cha u "baba" hatuna katika Uislam isipokuwa baba'ko aliyekuzaa tu.

Hicho ni cheo cha kikanisa kuna mlolongo wa Ma baba. Kuna "baba Mungu" kuna "Baba Mtakatifu" kuna "baba" (padri), kuna "baba askofu", sasa tena na taifa mnalipa "baba wa taifa".

Majanga.
 
Dah bibi nimejaribu kukupm pasi wewe kunijibu lolote! kumbe kulikuwa na uzi huu dah hakika nimekufahamu kwa kiasi fulani.
Heshima yako bi mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…