Faidika na Darsa la FaizaFoxy 2: Orodha ya nchi zilizo na hifadhi ya mafuta iliyothibitishwa.

Faidika na Darsa la FaizaFoxy 2: Orodha ya nchi zilizo na hifadhi ya mafuta iliyothibitishwa.

Petrol haichimbwi, kinachochimbwa toka ardhini ni petroleum ambayo ndiyo baadaye ikisafishwa na kurutubishwa kwa namna fulani huzalisha PETROL, DIESEL, KEROSENE n.k
Petroleum kiswahili chake ni petroli. Kasome post #18.

Huwa sikisii.
 
Na ww ni wale wale, na usidhani ukiandika unaandikia wale wale, anyway najua umetumia google translator au umekopi kwenye pages za bbc swahili wale ndio wana aina hii ya kiswahili, cha msingi toa credit kwa uliko chukua, huo ndio uungwana
Unaonesha hata kutumia mambo ya mitandao umeanza juzi juzi. Ngoja nikupe darsa dogo:

Ukiona maandiko ya blue kwenye bandiko, ndiyo "credits" zenyewe hizo, tunaziita "links", una bofya hayo maandishi ya blue yanakufikisha kwenye chanzo cha habari.

Utaelewa tu, nipo hapa kwa kuwapa darsa watu kama wewe pia.

Huna darasa, ww sema uko kutohoa tu
 
Hakika na sisi tutafikiwa na aya mafuta futa

Tuna anza na mabomba na baadae tuta anza kuchimba

Tulianza na tanzania zambia
Sasa tupo na Uganda Tanzania

Na tuna fanya tafiti mbalimbali

Katika maziwa yaliyopitiwa na bonde la ufa kuna semekana tuna uwezekano mkubwa wa Kupata mafuta
a. Ziwa natron & eyasi
b. Ziwa rukwa
c. Ziwa nyasa

Na sehemu zingine hasa sehemu za bahari maeneo ya tanga, pemba, unguja na kilwa (lindi)

Tupo pazuri si haba

D48AD03F-F931-4169-AB13-B1C51F12CC13.jpeg

07274101-0D19-4381-83F2-E5BF2EA38E07.jpeg

E2C34EEE-1F1C-4294-AB82-CD4953E840E1.jpeg
 
Petroleum kiswahili chake ni petroli. Kasome post #18.

Huwa sikisii.
Kiswahili kwenye mambo mengi ya kitaalamu huwa hakina ufanisi wa kutofautisha dhana au vitu.

Kulazimisha kutumia kiswahili katika baadhi ya majina hutaifikisha hiyo elimu uliyoikusudia. Tumia lugha za kitaalamu kama zilivyo ikiwa kuna ugumu wa kueleweka kwa kiswahili.
 
Kwa kuelewa hayo ndiyo maana nimewacha "links" ili mtu anaetaka kufahamu kama ilivyoandikwa abofye akasome kwenye vyanzo.

Nimekuelewa na nimeliona hilo mapema.
 
Huna darasa, ww sema uko kutohoa tu
Hayo ni matokeo ya kusoma bila kuelimika, siwe kukubishia.

Kunbujsbtu, hakuna aliyeelimika ambae hajifundishi kwa wengine kila siku ya maisha yake.

Teknolojia inetupa urahisi na wepesi wa ku access elimu za kila aina, kwanini tusiitumie kwa kujifaragua?

Unafahamu maana ya information technology?

Huwa sikisii.
 
Back
Top Bottom