Petroleum kiswahili chake ni petroli. Kasome post #18.Petrol haichimbwi, kinachochimbwa toka ardhini ni petroleum ambayo ndiyo baadaye ikisafishwa na kurutubishwa kwa namna fulani huzalisha PETROL, DIESEL, KEROSENE n.k
Unaonesha hata kutumia mambo ya mitandao umeanza juzi juzi. Ngoja nikupe darsa dogo:Na ww ni wale wale, na usidhani ukiandika unaandikia wale wale, anyway najua umetumia google translator au umekopi kwenye pages za bbc swahili wale ndio wana aina hii ya kiswahili, cha msingi toa credit kwa uliko chukua, huo ndio uungwana
Huna darasa, ww sema uko kutohoa tuUnaonesha hata kutumia mambo ya mitandao umeanza juzi juzi. Ngoja nikupe darsa dogo:
Ukiona maandiko ya blue kwenye bandiko, ndiyo "credits" zenyewe hizo, tunaziita "links", una bofya hayo maandishi ya blue yanakufikisha kwenye chanzo cha habari.
Utaelewa tu, nipo hapa kwa kuwapa darsa watu kama wewe pia.
Huwa sikisii.
Kiswahili kwenye mambo mengi ya kitaalamu huwa hakina ufanisi wa kutofautisha dhana au vitu.Petroleum kiswahili chake ni petroli. Kasome post #18.
Huwa sikisii.
Kwa kuelewa hayo ndiyo maana nimewacha "links" ili mtu anaetaka kufahamu kama ilivyoandikwa abofye akasome kwenye vyanzo.Kiswahili kwenye mambo mengi ya kitaalamu huwa hakina ufanisi wa kutofautisha dhana au vitu.
Kulazimisha kutumia kiswahili katika baadhi ya majina hutaifikisha hiyo elimu uliyoikusudia. Tumia lugha za kitaalamu kama zilivyo ikiwa kuna ugumu wa kueleweka kwa kiswahili.
Hayo ni matokeo ya kusoma bila kuelimika, siwe kukubishia.Huna darasa, ww sema uko kutohoa tu