Nunc dimittis
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 1,142
- 777
Sisi tumeua kuku wasio na vibali tunogopa magonjwa kama bird flu nk.nyie mbona mlibeba wasomali mkawajaza wanja wa ndege bila maji wala chakula na walipodhofu mkawaua kwa risasi (wagalla messacre)Heheee kama wivu na roho mbaya limafanya nchi iwe failed state basi Tanzania ime~qualify. Binafsi najua kwamba wivu ni rasilimali Tanzania. Roho mbaya mnazo kwa sababu mliteketeza viumbe walio hai.uhayawani usio na kifani.
Zaidi ya UN ripoti unatumia uwazi upi?, social media?Sina muda wa kubishana kuhusu masuala ambayo yapo wazi. Ndio maana nikakuambia kwamba kwenye demokrasia hakuna zaidi ya Tz ukanda huu wote.
Vipi miguna miguna repatriation yake ilkuwa sawa??????Sina muda wa kubishana kuhusu masuala ambayo yapo wazi. Ndio maana nikakuambia kwamba kwenye demokrasia hakuna zaidi ya Tz ukanda huu wote.
Eti ripoti ya UN, kuhusu demokrasia, ambayo inaonesha Tanzania ina demokrasia zaidi ya Kenya? Unaumwa, au unamaanisha hiyo taarifa ya The Citizen Tanzania data za 2018 kutoka sijui Economists Intelligence Unit? Yaani wewe jamaa huwa unaeka link hapa ambazo hata wewe mwenyewe huwa hujazisoma? [emoji1] Bure kabisa!Zaidi ya UN ripoti unatumia uwazi upi?, social media?
Udikteta unapimwa kwa democracy index, which we're above you guysNdio maana nikasema all the best, jaribuni udikteta. Wenzenu tulishatoka huko zamani na tulichoka sana, hatuna tena hamu ya kurudi nyuma kwenye enzi hizo.
Nenda pumzika,resetle the IDP's maana intia haibu kenya kisha urudi hapa????Eti ripoti ya UN, kuhusu demokrasia, ambayo inaonesha Tanzania ina demokrasia zaidi ya Kenya? Unaumwa, au unamaanisha hiyo taarifa ya Citizen Tanzania? Yaani wewe jamaa huwa unaeka link hapa ambazo hata wewe mwenyewe huwa hujazisoma? [emoji1] Bure kabisa!
Tz ni kati ya mataifa kumi duniani ambayo yanaangaziwa na Human Rights Watch kwa kuminya demokrasia, kukandamiza uhuru wa wanahabari na kutupilia mbali haki za kibinadam. Hongera zenu kwa kuwakilisha Afrika mashariki.Vipi miguna miguna repatriation yake ilkuwa sawa??????
Kulingana na hiyo link ya 'UN', almaarufu Citizen Tz, data za 2017 kutoka Economists Intelligence Unit, ambayo umeekewa na mwenzako hapo lakini hata hujashughulika kuisoma? Hongera zenu basi.Udikteta unapimwa kwa democracy index, which we're above you guys
Tatizo ni uwezo wako mdogo wa akili. Kawaida ukisoma taarifa kama hizi ambazo ni reported news, lazima media itatoa chanzo cha hiyo habari walikoipata, kwa kufanya hivyo inakua wameshajitenga na lolote lile linalohusiana na hiyo taarifa. Ninakushangaa unaposema hii habari ni Mali ya Citizen wakati wamekupa source walipoitoa.Eti ripoti ya UN, kuhusu demokrasia, ambayo inaonesha Tanzania ina demokrasia zaidi ya Kenya? Unaumwa, au unamaanisha hiyo taarifa ya Citizen Tanzania? Yaani wewe jamaa huwa unaeka link hapa ambazo hata wewe mwenyewe huwa hujazisoma? [emoji1] Bure kabisa!
Tatizo ni uwezo wako mdogo wa akili. Kawaida ukisoma taarifa kama hizi ambazo ni reported news, lazima media itatoa chanzo cha hiyo habari walikoipata, kwa kufanya hivyo inakua wameshajitenga na lolote lile linalohusiana na hiyo taarifa. Ninakushangaa unaposema hii habari ni Mali ya Citizen wakati wamekupa source walipoitoa.Eti ripoti ya UN, kuhusu demokrasia, ambayo inaonesha Tanzania ina demokrasia zaidi ya Kenya? Unaumwa, au unamaanisha hiyo taarifa ya Citizen Tanzania? Yaani wewe jamaa huwa unaeka link hapa ambazo hata wewe mwenyewe huwa hujazisoma? [emoji1] Bure kabisa!
Tz ni kati ya mataifa kumi duniani ambayo yanaangaziwa na Human Rights Watch kwa kuminya demokrasia, kukandamiza uhuru wa wanahabari na kutupilia mbali haki za kibinadam. Hongera zenu kwa kuwakilisha Afrika mashariki.
Freedom = Political rights + Civil liberties. Tumeelewana 'mods'?Lete uzi wa Freedom. tutaujadili tu.
Acha tunyoshe majizi kwani kwa domokrasia hatuyawezi tukimaliza tutarudi kwa democracy.si unaona Uhuru anadili na majizi kwa style ya magufuri tu.why AKASHA fanily taken to USA no court in kenya??tanzania ilishawakamata na unga in tz long time nyie muda wote mkawa hamuwapelelezi tu? Eti mnajua leo hao ni ma drug dealersTz ni kati ya mataifa kumi duniani ambayo yanaangaziwa na Human Rights Watch kwa kuminya demokrasia, kukandamiza uhuru wa wanahabari na kutupilia mbali haki za kibinadam. Hongera zenu kwa kuwakilisha Afrika mashariki.
Naam, haya maneno bolded hapo niliyategemea sana. Unajiumbua mwenye kwa kusema taarifa ni za U.N 2018, wakati ni porojo tupu alafu sasa unatakaTatizo ni uwezo wako mdogo wa akili. Kawaida ukisoma taarifa kama hizi ambazo ni reported news, lazima media itatoa chanzo cha hiyo habari walikoipata, kwa kufanya hivyo inakua wameshajitenga na lolote lile linalohusiana na hiyo taarifa. Ninakushangaa unaposema hii habari ni Mali ya Citizen wakati wamekupa source walipoitoa.
Wewe uliyesema hii taarifa ni ya Citizen inaonyesha ufinyu wa akili ulionao. Ila kwasababu lengo kuu la hii mijadala ni kuelimishana, ni matumaini yangu ukisoma tena reported news, utaangalia source na sio kulaumu gazeti husika.Naam, haya maneno bolded hapo niliyategemea sana. Unajiumbua mwenye kwa kusema taarifa ni za U.N 2018, wakati ni porojo tupu alafu sasa unataka
kunirushia lawama? [emoji15]
Kwahivyo hadi sasa hivi hujastukia kwamba taarifa zenyewe hazijatoka UN? Tena sio za 2018? [emoji15] Vitu kama hivo vinahitaji kusomwa, sio unafurahia tu kutizama picha. [emoji1] Economists Intelligence unit ndio waliibuka nayo, ila ni wazi kwamba uliicopy paste tu bila kusoma, kutoka kwa lumumba media, The Citizen.Wewe uliyesema hii taarifa ni ya Citizen inaonyesha ufinyu wa akili ulionao. Ila kwasababu lengo kuu la hii mijadala ni kuelimishana, ni matumaini yangu ukisoma tena reported news, utaangalia source na sio kulaumu gazeti husika.
Definition:
- A fragile or failing state is a state whose central government is so weak or ineffective that it has little practical control over much of its territory, non-provision of public services, widespread corruption and criminality, refugees and involuntary movement of populations, and sharp economic decline.
So according to united States think tank fund for peace, countries from EAST AFRICA only Kenya ( 17 ), Burundi (18) and South Sudan ( 1 ) are in the top twenty. Tanzania is 64, USA 154, North Korea 28 and Uganda 24 among others.
Question is, are we seriously comparing Tanzania and Kenya?
Source : Fragile States Index 2018 | Fragile States Index
Wikipedia :
List of countries by Fragile States Index - Wikipedia
Hahahahaha, kabla sijakuletea data za UDP, kwanza kanusha kwamba hizi data sio za Citizen kama ulivyosema mwanzoni, pia ukubali kwamba ilikua hujui jinsi ya kusoma reported news.Kwahivyo hadi sasa hivi hujastukia kwamba taarifa zenyewe hazijatoka UN? Tena sio za 2018? [emoji15] Vitu kama hivo vinahitaji kusomwa, sio unafurahia tu kutizama picha. [emoji1] Economists Intelligence unit ndio waliibuka nayo, ila ni wazi kwamba uliicopy paste tu bila kusoma, kutoka kwa lumumba media, The Citizen.
Taarifa ni kutoka The Citizen, kuhusu data zilipotoka nimekueleza hapo juu. Mmetuzidi kwenye demokrasia, sawasawa?Hahahahaha, kabla sijakuletea data za UDP, kwanza kanusha kwamba hizi data sio za Citizen kama ulivyosema mwanzoni, pia ukubali kwamba ilikua hujui jinsi ya kusoma reported news.
Hahahahaha,Taarifa ni kutoka The Citizen, kuhusu data zilipotoka nimekueleza hapo juu. Mmetuzidi kwenye demokrasia, sawasawa?