Failed states index : Kenya yashika nafasi ya 17

Heheee kama wivu na roho mbaya limafanya nchi iwe failed state basi Tanzania ime~qualify. Binafsi najua kwamba wivu ni rasilimali Tanzania. Roho mbaya mnazo kwa sababu mliteketeza viumbe walio hai.uhayawani usio na kifani.
Sisi tumeua kuku wasio na vibali tunogopa magonjwa kama bird flu nk.nyie mbona mlibeba wasomali mkawajaza wanja wa ndege bila maji wala chakula na walipodhofu mkawaua kwa risasi (wagalla messacre)
 
Zaidi ya UN ripoti unatumia uwazi upi?, social media?
Eti ripoti ya UN, kuhusu demokrasia, ambayo inaonesha Tanzania ina demokrasia zaidi ya Kenya? Unaumwa, au unamaanisha hiyo taarifa ya The Citizen Tanzania data za 2018 kutoka sijui Economists Intelligence Unit? Yaani wewe jamaa huwa unaeka link hapa ambazo hata wewe mwenyewe huwa hujazisoma? [emoji1] Bure kabisa!
 
Ndio maana nikasema all the best, jaribuni udikteta. Wenzenu tulishatoka huko zamani na tulichoka sana, hatuna tena hamu ya kurudi nyuma kwenye enzi hizo.
Udikteta unapimwa kwa democracy index, which we're above you guys
 
Eti ripoti ya UN, kuhusu demokrasia, ambayo inaonesha Tanzania ina demokrasia zaidi ya Kenya? Unaumwa, au unamaanisha hiyo taarifa ya Citizen Tanzania? Yaani wewe jamaa huwa unaeka link hapa ambazo hata wewe mwenyewe huwa hujazisoma? [emoji1] Bure kabisa!
Nenda pumzika,resetle the IDP's maana intia haibu kenya kisha urudi hapa????
 
Vipi miguna miguna repatriation yake ilkuwa sawa??????
Tz ni kati ya mataifa kumi duniani ambayo yanaangaziwa na Human Rights Watch kwa kuminya demokrasia, kukandamiza uhuru wa wanahabari na kutupilia mbali haki za kibinadam. Hongera zenu kwa kuwakilisha Afrika mashariki.
FitW7_820px_Country_Trend_Arrows-cropped.png
 
Udikteta unapimwa kwa democracy index, which we're above you guys
Kulingana na hiyo link ya 'UN', almaarufu Citizen Tz, data za 2017 kutoka Economists Intelligence Unit, ambayo umeekewa na mwenzako hapo lakini hata hujashughulika kuisoma? Hongera zenu basi.
 
Eti ripoti ya UN, kuhusu demokrasia, ambayo inaonesha Tanzania ina demokrasia zaidi ya Kenya? Unaumwa, au unamaanisha hiyo taarifa ya Citizen Tanzania? Yaani wewe jamaa huwa unaeka link hapa ambazo hata wewe mwenyewe huwa hujazisoma? [emoji1] Bure kabisa!
Tatizo ni uwezo wako mdogo wa akili. Kawaida ukisoma taarifa kama hizi ambazo ni reported news, lazima media itatoa chanzo cha hiyo habari walikoipata, kwa kufanya hivyo inakua wameshajitenga na lolote lile linalohusiana na hiyo taarifa. Ninakushangaa unaposema hii habari ni Mali ya Citizen wakati wamekupa source walipoitoa.
 
Eti ripoti ya UN, kuhusu demokrasia, ambayo inaonesha Tanzania ina demokrasia zaidi ya Kenya? Unaumwa, au unamaanisha hiyo taarifa ya Citizen Tanzania? Yaani wewe jamaa huwa unaeka link hapa ambazo hata wewe mwenyewe huwa hujazisoma? [emoji1] Bure kabisa!
Tatizo ni uwezo wako mdogo wa akili. Kawaida ukisoma taarifa kama hizi ambazo ni reported news, lazima media itatoa chanzo cha hiyo habari walikoipata, kwa kufanya hivyo inakua wameshajitenga na lolote lile linalohusiana na hiyo taarifa. Ninakushangaa unaposema hii habari ni Mali ya Citizen wakati wamekupa source walipoitoa.
 
Tz ni kati ya mataifa kumi duniani ambayo yanaangaziwa na Human Rights Watch kwa kuminya demokrasia, kukandamiza uhuru wa wanahabari na kutupilia mbali haki za kibinadam. Hongera zenu kwa kuwakilisha Afrika mashariki.
FitW7_820px_Country_Trend_Arrows-cropped.png

Lete uzi wa Freedom. tutaujadili tu.
 
Tz ni kati ya mataifa kumi duniani ambayo yanaangaziwa na Human Rights Watch kwa kuminya demokrasia, kukandamiza uhuru wa wanahabari na kutupilia mbali haki za kibinadam. Hongera zenu kwa kuwakilisha Afrika mashariki.
FitW7_820px_Country_Trend_Arrows-cropped.png
Acha tunyoshe majizi kwani kwa domokrasia hatuyawezi tukimaliza tutarudi kwa democracy.si unaona Uhuru anadili na majizi kwa style ya magufuri tu.why AKASHA fanily taken to USA no court in kenya??tanzania ilishawakamata na unga in tz long time nyie muda wote mkawa hamuwapelelezi tu? Eti mnajua leo hao ni ma drug dealers
 
Tatizo ni uwezo wako mdogo wa akili. Kawaida ukisoma taarifa kama hizi ambazo ni reported news, lazima media itatoa chanzo cha hiyo habari walikoipata, kwa kufanya hivyo inakua wameshajitenga na lolote lile linalohusiana na hiyo taarifa. Ninakushangaa unaposema hii habari ni Mali ya Citizen wakati wamekupa source walipoitoa.
Naam, haya maneno bolded hapo niliyategemea sana. Unajiumbua mwenye kwa kusema taarifa ni za U.N 2018, wakati ni porojo tupu alafu sasa unataka
kunirushia lawama? [emoji15] Economist Intelligence Unit sio UN, tena hawana taarifa za 2018. Hapa una'deal' na watu ambao wapo makini bana sio jeshi lako la vijiweni.
 
Naam, haya maneno bolded hapo niliyategemea sana. Unajiumbua mwenye kwa kusema taarifa ni za U.N 2018, wakati ni porojo tupu alafu sasa unataka
kunirushia lawama? [emoji15]
Wewe uliyesema hii taarifa ni ya Citizen inaonyesha ufinyu wa akili ulionao. Ila kwasababu lengo kuu la hii mijadala ni kuelimishana, ni matumaini yangu ukisoma tena reported news, utaangalia source na sio kulaumu gazeti husika.
 
Kwahivyo hadi sasa hivi hujastukia kwamba taarifa zenyewe hazijatoka UN? Tena sio za 2018? [emoji15] Vitu kama hivo vinahitaji kusomwa, sio unafurahia tu kutizama picha. [emoji1] Economists Intelligence unit ndio waliibuka nayo, ila ni wazi kwamba uliicopy paste tu bila kusoma, kutoka kwa lumumba media, The Citizen.
 
Definition:
- A fragile or failing state is a state whose central government is so weak or ineffective that it has little practical control over much of its territory, non-provision of public services, widespread corruption and criminality, refugees and involuntary movement of populations, and sharp economic decline.

So according to united States think tank fund for peace, countries from EAST AFRICA only Kenya ( 17 ), Burundi (18) and South Sudan ( 1 ) are in the top twenty. Tanzania is 64, USA 154, North Korea 28 and Uganda 24 among others.
Question is, are we seriously comparing Tanzania and Kenya?

Source : Fragile States Index 2018 | Fragile States Index
Wikipedia :
List of countries by Fragile States Index - Wikipedia

Aisee Kabudi ni one of the worthless people I have ever seen in this sorry world...

Kwa aibu kabisa nasikia tangu akiwa anasoma alikua anapata A tu.....Ni proof kabisa akili ya darasani ni kama ilivyo data storage device kama Hard Disk tu na wala sio RAM ya kuchakata data.....

Kabudi is the disgrace to humanity kabisa!

Ajitahidi asiwe anafungua mdomo anymore!
 
Kwahivyo hadi sasa hivi hujastukia kwamba taarifa zenyewe hazijatoka UN? Tena sio za 2018? [emoji15] Vitu kama hivo vinahitaji kusomwa, sio unafurahia tu kutizama picha. [emoji1] Economists Intelligence unit ndio waliibuka nayo, ila ni wazi kwamba uliicopy paste tu bila kusoma, kutoka kwa lumumba media, The Citizen.
Hahahahaha, kabla sijakuletea data za UDP, kwanza kanusha kwamba hizi data sio za Citizen kama ulivyosema mwanzoni, pia ukubali kwamba ilikua hujui jinsi ya kusoma reported news.
 
Taarifa ni kutoka The Citizen, kuhusu data zilipotoka nimekueleza hapo juu. Mmetuzidi kwenye demokrasia, sawasawa?
 
Back
Top Bottom