Hello JF
Sijui kwanini media za kenya kwa sasa zinaeneza propaganda zenye lengo la kutugawa wa africa.
1. Wanalalamikia kuhusu eti nchi za ECOWAS zimefanya njama. Wakati ECOWAS ipo na nchi 15 tu.
Vilevile nchi za SADC zipo 15 tu, IGAD zipo 8
Member States | Economic Community of West African States(ECOWAS)
Kwanini wanataka kuleta masuala yao kwenye umoja wetu wa Africa. Nimekuwa nikisikiliza mahojiano mbalimbali yamenishangaza sana kwa hawa wenzetu, wamekuwa wakitupia lawama kwa watu wengine kana kwamba ilikuwa lazima washinde.
We uache kuandika vitu usivyo elewa!!Nyerere J. k aliwaisema dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana. Mkianza sisi Watanganyika wao Wazanzibar, haitaishia hapo ipo siku itakuwa sisi waunguja wao wapemba, sisi wanyamwezi wao Wazaramo
Ndicho kinatokea Kenya, Ukabila na Usisi unawatafuna. Sasa baaada ya ukabila kuitafuna Kenya, wanataka sasa tujiite sisi wa Afrika Mashariki, wao Wamagharibi ya Afrika.
Nchi hii ni ya Watu wabinafsi na walafi
Kwani Ilikuwa Lazima Ashinde.?
Kwani Wagombea Wenzake Walikuwa Ni TakaTaka na yeye alikuwa Dhahabu au.?
Nimeandika vitu vya ajabu!!? Hebu sikiliza wakenya wenzako wanavyolalama.
Kha!! Wewe huoni hao jamaa zako wanavyoongea na kuwaona,west Africa kama sio waafrica?We unachokifanya ni uchochezi!! Mbona lakini huu uchochezi? Ahh! Wabongo mi siwaelewi kabisa!! Daah
Kha!! Wewe huoni hao jamaa zako wanavyoongea na kuwaona,west Africa kama sio waafrica?
Acheni ubaguzi wa waafrica wenzetu. Kama ameshindwa akubali kushindwa sio kuanza kulaumu eti Afrika imegawanyika!!?
Sisi TZ tunajua binadamu wote ni sawa na Africa ni moja. Nyie mnataka kutigawa waafrika kwa tamaa zenu na u puppet wenu.
Rafiki yako nani? Mbona mnalazimisha makundi ndani ya AU? Anglophone ni nchi zipi Africa na Francophone ni zipi? Mbona mnawaza kutawaliwa tawaliwatu.Hata Kenya hatuna ubaguzi!! Wao na watu kama nyinyi ndio mnaleta haya mambo, we ulisikia eti Francophone hawawezi votia Anglophone? Kwanza Tanzania hamko kwa hizi group, sa sijui unalalamika nini?
Wewe unaweza sikia aje rafiki yako unayemwamini akikutoroka wakati umekabwa???
Hiyo huitwa usaliti
Mpaka leo una mawazo yako francophone na anglophone,ww una tawaliwa na wazungu bado.Africa ni moja mbona, any can win.Hata Kenya hatuna ubaguzi!! Wao na watu kama nyinyi ndio mnaleta haya mambo, we ulisikia eti Francophone hawawezi votia Anglophone? Kwanza Tanzania hamko kwa hizi group, sa sijui unalalamika nini?
Wewe unaweza sikia aje rafiki yako unayemwamini akikutoroka wakati umekabwa???
Hiyo huitwa usaliti
Rafiki yako nani? Mbona mnalazimisha makundi ndani ya AU? Anglophone ni nchi zipi Africa na Francophone ni zipi? Mbona mnawaza kutawaliwa tawaliwatu.
Stupid kenyans!!!!
Ndio ubaguzi huo hata kenya mnachaguana kwa makabila, jaluo chagua jaluo wenzie wanaoongea lugha moja kwa kusikilizana, kikuyu chagua kikuyu mwezie. Dhambi ya ukabila itawatafuna milele ninyi na hamiwezi kuishi kwa Amani kamweWewe nini? Hujuweza kusikia kwamba haya mambo yanaendelea bado??? Nchi zinachaguana kulingana na lugha, wanaongea kifarasa upande mmoja, wanaongea Kingereza upande mwingine!! We unadhani nini kilichofanya Amina ashindwe?
We mwehu nini?
Ndio hiyo madharau niliyokuwa nikisema hapa. Nyinyi wabongoni unafik tu unaowatawala.Ndio ubaguzi huo hata kenya mnachaguana kwa makabila, jaluo chagua jaluo wenzie wanaoongea lugha moja kwa kusikilizana, kikuyu chagua kikuyu mwezie. Dhambi ya ukabila itawatafuna milele ninyi na hamiwezi kuishi kwa Amani kamwe
Mtazidi kuuana kila baada ya Uchaguzi. Kwetu watanzania, tunataka candidate bora sio bora candidate. Thats y possibly we didnt vote to Kenyan
Wewe acha kulia lia. Hatupigii kura kwa sababu huyu ni jirani yangu. Tunapigia kura kwa manufaa ya africa nzima.Ndio hiyo madharau niliyokuwa nikisema hapa. Nyinyi wabongoni unafik tu unaowatawala.
Sielewi huu wivu wa kike ni wa nini??
Tuseme angekuwa Mtz Kenya haingemvotia!!!
Duuuh hawa watu aila gani hii!!
Wewe acha kulia lia. Hatupigii kura kwa sababu huyu ni jirani yangu. Tunapigia kura kwa manufaa ya africa nzima.