evart
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 2,838
- 2,772
LoserWatanzania wanafik tu kama wewe, mna maudhi kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LoserWatanzania wanafik tu kama wewe, mna maudhi kweli
Annael; Jukwaa hili unawamudu kabisa vilivyo hawa wenzetu(Wazee wa Madharau).Kha!! Wewe huoni hao jamaa zako wanavyoongea na kuwaona,west Africa kama sio waafrica?
Acheni ubaguzi wa waafrica wenzetu. Kama ameshindwa akubali kushindwa sio kuanza kulaumu eti Afrika imegawanyika!!?
Sisi TZ tunajua binadamu wote ni sawa na Africa ni moja. Nyie mnataka kutigawa waafrika kwa tamaa zenu na u puppet wenu.
Hello JF
Sijui kwanini media za kenya kwa sasa zinaeneza propaganda zenye lengo la kutugawa wa africa.
1. Wanalalamikia kuhusu eti nchi za ECOWAS zimefanya njama. Wakati ECOWAS ipo na nchi 15 tu.
Vilevile nchi za SADC zipo 15 tu, IGAD zipo 8
Member States | Economic Community of West African States(ECOWAS)
Kwanini wanataka kuleta masuala yao kwenye umoja wetu wa Africa. Nimekuwa nikisikiliza mahojiano mbalimbali yamenishangaza sana kwa hawa wenzetu, wamekuwa wakitupia lawama kwa watu wengine kana kwamba ilikuwa lazima washinde.