Fainali CAF: Mashabiki wa Yanga wanalowa na mvua nje ya Uwanja, mageti hayajafunguliwa, muda bado

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
FAINALI CAF;DOSARI YAANZA KUJITOKEZA MECHI YA YANGA.

Fainali CAF; dosari yaanza kujitokeza mechi ya Yanga.

Washabiki wa yanga wanalowa na mvua toka saa mbili asubuhi wapo nje ya uwanja,kwa nini wasiruhusiwe kuingia uwanjani,mageti yote yafunguliwe kuepusha vifo na kukanyagana?
 
FAINALI CAF;DOSARI YAANZA KUJITOKEZA MECHI YA YANGA.

WASHABIKI WA YANGA WANALOWA NA MVUA TOKA SAA MBILI ASUBUHI WAPO NJE YA UWANJA,KWA NINI WASIRUHUSIWE KUINGIA UWANJANI,MAGETI YOTE YAFUNGULIWE KUEPUSHA VIFO NA KUKANYAGANA..?
Acha uongo wewe... hao wanaolowa mvua ni utaratibu wa kuingia mbona sisi tupo uwanjani mapema tu
 
Ujinga sana hao waliolangua izo Tiketi kwa nn wasingekuja kuzigawa hapo uwanjan

Mtu anapewa ticket na kuingia uwaajan apo apo
 
Ni utaratibu wa hovyo na wasirudie tena Taasisi, mabank kununua ticket. Ule uwanja tungeujaza hata bila wao kununua hizo ticket.
Hizo hela wangewachangia, mashabiki kwenda Algeria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…