Fainali CAF: Mashabiki wa Yanga wanalowa na mvua nje ya Uwanja, mageti hayajafunguliwa, muda bado

Ndio shida ya kuwa wageni wa mashindano sheria za CAF mageti yafunguliwe saa sita sasa wewe 12 asubuhi uko uwanjani😀
 
Michezo ni AFYA na ni burudani lakini kitendo cha kutoa Kodi zetu na kuzipa timu mbili kwamba ni motisha Mimi siungi Mkono angalau SERIKALI ingegawa pesa Kwa Shule za mpira ili kuandaa timu za Taifa na ingekuwa uamuzi wangu hata HIZO ruzuku za vyama vya Siasa ningetoa kwenye Shule HIZO na vituo vya kulelea yatima
 
Na pesa zinazoibwa unajua ni shilingi ngapi?
 
Ushaambiwa mashabiki

Mashabiki wakilowa na mvua,wakipigwa na jua kwao poa tu

Vp hawajasukuma magari ya matajiri zao,maana wana style wanaawambiaga wazime magari yao
Wao watayasukuma tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…