Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajakaguliwa...Wameingia bila kukaguliwa?
Na pesa zinazoibwa unajua ni shilingi ngapi?Michezo ni AFYA na ni burudani lakini kitendo cha kutoa Kodi zetu na kuzipa timu mbili kwamba ni motisha Mimi siungi Mkono angalau SERIKALI ingegawa pesa Kwa Shule za mpira ili kuandaa timu za Taifa na ingekuwa uamuzi wangu hata HIZO ruzuku za vyama vya Siasa ningetoa kwenye Shule HIZO na vituo vya kulelea yatima