Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Tukiwa tunaelekea kwenye fainali ya Uefa Champions League ya msimu huu kati ya Manchetser City Vs Chelsea FC. Tujikumbushe katika miaka 10 iliyopita ni fainali gani ilikuvutia zaidi?
Mimi fainali niliyoikubali ni ile ya Real Madrid Vs Atletico Madrid, Sergio Ramos anasawazisha goli dakika za lala salama kabisa. Mpaka leo naamini Atletico alistahili kuwa bingwa kama sio Sergio Ramos kuwafanyia unyama.
Karibu utukumbushe na ya kwako.