Fainali ipi ya 'UEFA Champions League' ilikuvutia kwa miaka 10 iliyopita?

Fainali ipi ya 'UEFA Champions League' ilikuvutia kwa miaka 10 iliyopita?

Dudek [emoji16] Yule ndo the best goalkeeper kwangu aisee [emoji4] Andre Shevshecko duuh ile fainali ilikuwa moto sana
Halafu Liverpool ilikuwa na wachezaji wa kawaida sana sema tu walikuwa wanajituma sana. Beki ya kati ya Hypia na Djimi Traore duuh ilikuwa full maboko.
 
Drogba anapiga header dakika ya 80 na kupiga mkuki wa mwisho na kumzamisha mnyama na kunyenyua kwapa, nikiwa maeneo ya Ngara. What a final

Siku hiyo nilikuwa na pressure balaa,ilibidi nizime TV zile dakika za mwisho,nilikosa kabisa ujasiri wa kuhimili zile dk za mwisho kutizama.Chelsea fans acha tule bata tu kwakweli[emoji3][emoji3]
 
Fainali zote za real mimi kama shabiki wa les merengues zilikuwa nouma sana
 
Back
Top Bottom