Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Miaka 10 kumbuka1999
Fainal bora kupata kutokea.
OGS na TS kufanya mauaji ndani ya dakika za nyongeza
Mi niongeze iende mpaka 20 yrs, Final ya Ac Milan vs Juventus, Ac Milan vs Man united, Ac Milan vs Liverpool, Real Madrid vs Atletico ndizo final bora kbs kwangu for all 20 yrs.Tukiwa tunaelekea kwenye fainali ya Uefa Champions League ya msimu huu kati ya Man City Vs Chelsea...
Sawa..1999
Fainal bora kupata kutokea.
OGS na TS kufanya mauaji ndani ya dakika za nyongeza
Ile ya Manu vs Barcelona mpaka Sir Alex akaanza kutetemeka mikono.
Miaka 10 kumbuka
Mi niongeze iende mpaka 20 yrs, Final ya Ac Milan vs Juventus, Ac Milan vs Man united, Ac Milan vs Liverpool, Real Madrid vs Atletico ndizo final bora kbs kwangu for all 20 yrs.
Milan vs juventus
Old trafford way back kamasikosei 2003
Umeambiwa miaka 10 iliyopita1999
Fainal bora kupata kutokea.
OGS na TS kufanya mauaji ndani ya dakika za nyongeza
Ndio maana nikasema way back mkuu [emoji106]Miaka 10 iliyopita
Itakuwa ww mtoto sasa.Miaka 10 kumbuka