Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Ilibidi Christiano acheze beki maana msako ulikuwa mkali sana. Messi alifunga header moja mpaka unajiuliza haka kaa andunje kamerukaje kupiga kile kichwa?Ile ya Manu vs Barcelona mpaka Sir Alex akaanza kutetemeka mikono.
Hivi karibuni kwenye La liga pia kafunga header.Ilibidi Christiano acheze beki maana msako ulikuwa mkali sana. Messi alifunga header moja mpaka unajiuliza haka kaa andunje kamerukaje kupiga kile kichwa?
Kila mtu anajua
The night in instanbul ..
AC Milan Vs Liverpool
Halafu Liverpool ilikuwa na wachezaji wa kawaida sana sema tu walikuwa wanajituma sana. Beki ya kati ya Hypia na Djimi Traore duuh ilikuwa full maboko.Dudek [emoji16] Yule ndo the best goalkeeper kwangu aisee [emoji4] Andre Shevshecko duuh ile fainali ilikuwa moto sana
Halafu Liverpool ilikuwa na wachezaji wa kawaida sana sema tu walikuwa wanajituma sana. Beki ya kati ya Hypia na Djimi Traore duuh ilikuwa full maboko.
Hivi karibuni kwenye La liga pia kafunga header.
Sir Alex alitafuna sana jojo usiku ule ila wapiIle ya Manu vs Barcelona mpaka Sir Alex akaanza kutetemeka mikono.
Drogba anapiga header dakika ya 80 na kupiga mkuki wa mwisho na kumzamisha mnyama na kunyenyua kwapa, nikiwa maeneo ya Ngara. What a final