Fainali, Klabu Bingwa Afrika: USM Alger vs TP Mazembe

Fainali, Klabu Bingwa Afrika: USM Alger vs TP Mazembe

TP Mazembe wamepata penati ya pili baada ya samatta kuangushwa eneo la hatari, kapiga samata mwenyewe na kuandika goli la 2 kwa 0
 
Bila ushabiki Samatta na Ulimwengu ni roho ya TP Mazembe
 
Hawa waarabu wabishi kinyama roho ya paka
 
Fulltime TP Mazembe 2 wao 1
 
hivi wandugu kwenye mechi na Algeria mahrez atakuwepo?
 
Mbwana sammata tayari leo amefanikiwa kufunga sasa ndo mfungaji bora wa msimu huu
 
Fulltime TP Mazembe 2 wao 1

Duh...game niiliacha Mazembe wakiwa wanaongoza goli moja kipindi cha pili mwanzoni...

Haya matokeo mazuri kwa Mazembe, wakiwa Lubumbashi wanatakiwa waanze kuziona nyavu basi Waalgeria watakuwa na mlima wa kupanda
 
Back
Top Bottom