Nimeangalia Fainali Kombe la Dunia ya Mwaka 1990 iliyofanyika Ujerumani, kwa kweli naona Wajerumani walibebwa na refa, kadi 2 za nyekundu na Maradona kupewa kadi ya njano, ile penati duh