Fainali Kombe la Dunia 1990

Fainali Kombe la Dunia 1990

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,153
Reaction score
2,647
Nimeangalia Fainali Kombe la Dunia ya Mwaka 1990 iliyofanyika Ujerumani, kwa kweli naona Wajerumani walibebwa na refa, kadi 2 za nyekundu na Maradona kupewa kadi ya njano, ile penati duh
 
Mbeleko kumbe ilianza kitambo eheee.
 
Back
Top Bottom