Fainali mbovu ya UCL kwa upande wako ni ipi?

Fainali mbovu ya UCL kwa upande wako ni ipi?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kwa mujibu wa Football Funnys wanasema Fainali ya Uefa Champions League (UCL) kati ya Spurs Vs Liverpool ndio fainali mbovu kuwahi kutokea katika historia ya ligi ya mabingwa.

Spurs alilala 2-0 dhidi ya Liverpool kirahisi mno tofauti na matarajii ya wengi waliodhani itakuwa mechi ngumu!

Kwa upande wako mdau, fainali ipi katika UCL ilikuwa mbovu? Au unawaunga mkono Football Funnys?

Karibu kwa mjadala...

864C2657-37D2-40D9-9E9B-95DBDAD64F27.jpeg
 
Bora hata hiyo ya Spurs Vs Liverpool.

Sijawahi kushuhudia UCL final mbovu kama ile ya mwaka 2015 ambayo ilikua Barcelona Vs Juventus.

Ilikua final isio na mvuto wala ushindani kabisa kwani Juventus walizidiwa kila kitu.

Final score was Barcelona 3 Juventus 1. Fainali mbovu ktk historia ya UCL.
 
Spurs Vs Liverpool ndio fainali ya kwanza kusinzia na Kulala kabisa ,haikuwa na mvuto hata kidogo niliipania kuicheki coz mechi walizo kutana liva na Spurs Ktk msimu huo kwny ligi zilikuwa moto hivyo nikatarajia itakuwa bonge la gemu .
 
Back
Top Bottom