Fainali mbovu ya UCL kwa upande wako ni ipi?

Fainali mbovu ya UCL kwa upande wako ni ipi?

2nd half, Barca alifanya kitu ambacho Sir Alex alikuja kukiri miaka michache baadae kuwa alirudia mara mbili mbili kutazama mkanda wa marudio hakuona mahali walipokosea bali walikutana na timu bora pengine bora ya wakati wote
Mpaka HT 1-1 lakini, Goli la Rooney lilirudisha Man U mchezoni. Japo tulizidwa sana ila matokeo hayakuonekana mapema, tofauti na 2009.
nd
 
Watu wanaleta utani lakini pia ukute wana machungu ya betting
Na iliwaliza wengi sana iyo kwenye betting coz aslimia kubwa walijua mzee kipara na vijana wake watabeba ndoo ila ikawa Tofaut aisee hii ilikua game matata sana ni kama kwenye EPL game ya Man city Vs Liverpoll hii ya juzi waliotoka sare 2-2 hii game sijaona game ya moto kama hii msimu huu au macho yangu?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
2nd half, Barca alifanya kitu ambacho Sir Alex alikuja kukiri miaka michache baadae kuwa alirudia mara mbili mbili kutazama mkanda wa marudio hakuona mahali walipokosea bali walikutana na timu bora pengine bora ya wakati wote

nd
2009 ama 2011? 2011 fergie alikiri alitakiwa adefence, Messi na Barca walikuwa vizuri sana kwa Timu zinazofunguka na weak kwa timu zinazopaki basi, chelsea walicheza mechi 8 na Barcelona Bila kufungwa. Ila 2009 ilikuwa ni suprise, Man u quality wise walikuwa bora kuliko Barca.
 
2011 UCLFinal

Barcelona Vs Man Utd

Hii haikuwa mbaya ila ilikuwa Fainali ya upande mmoja zaidi

Barca walikuwa kwenye peak ya juu Kabisa Tangu ianzishwe nadhani

Ferguson Mikono inatetemeka hajui aamue Lipi!?

Rooney na Ronaldo wote walichezea safa bwege moja Maratha sana

Pasi zilipigwa hadi unawaonea Huruma Man U[emoji1787][emoji1787]
 
Ronaldo hiyo mechi ya babu Fergie kutetemeka alikuwa tayari yupo Madrid. Ronaldo alikuwepo fainali ya 2009 wakati MUFC wakibagazwa goli 2 bila, goli la kwanza likitupiwa kambani na Etoo, na goli la pili Messi akitupia kichwa safi mbele ya Rio Ferdinand.
 
Zilibaki dakika 16 tu Gunners kuwa bingwa.
Mwakani tutachukua.
images%20(13).jpg
 
Moja ya fainali nzuri ya kukumbukwa, ngoma mpaka mikwaju ya penati ndo ikaamua bingwa!! Hii ilikuwa fainali ya kwanza kati ya fainal tatu mfululizo Juve alizoingia na kuishia kupoteza!! I feel sorry for Gigi Buffon
By then juve ndio alikuwa mbabe wa scudeto while Milan ya acelotti ilikuwa bora ulaya
 
Back
Top Bottom