Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Valencia walikuwa na mkosi wa kupoteza fainali mbili mfululizo dhidi ya Bayern kisha dhidi ya Madridmwaka 2000 :
real madrid - valencia
Kabla ya mechi ilionekana ni vita ya BBC ya Madrid (Benzema, Bale & Cristiano) dhidi ya BBC ya Juve (Barzagli, Bonucci & Chiellini) lakini kwenye mechi ikawa vita nyepesi mnooooNi kweli kabisa..hii Ni fainal mbovu kupita zote nilizoziona..inafatia ya Madrid na Juve..
Mbinu na uwezo Jose Mourinho uliamua mechi mapemaMonaco vs porto
Wewe Dogo Bonge la Fainali udambwi udambwi mwingi sana kipindi hicho Mendieta Vs Redondo, Pablo Aimar, Ivan Campo hatari sana miaka ile mpira haukuwa wa kukamiana kama leomwaka 2000 :
real madrid - valencia
Wewe Realmadrid Vs Juve ilikuwa fainali yenye magoli matamu sana labda kama hujuangalia mpiraKabla ya mechi ilionekana ni vita ya BBC ya Madrid (Benzema, Bale & Cristiano) dhidi ya BBC ya Juve (Barzagli, Bonucci & Chiellini) lakini kwenye mechi ikawa vita nyepesi mnoooo
Real Madrid vs Atletico Madrid!
Finali ya goli nyingi hua hainogi kabisa.