Fainali Uzeeni!....


shikamoo babu
 

Kuna watu watu huwa wanajisahau sana pale anapo kaa nyumba ya shirika au kampuni hajui gharama za maji, umeme kila kitu anafanyiwa na shirika akistaafishwa kwa manufaa ya umma huwa inakuwa balaa nimeona wengi wao huwa hawachui round wanafariki
 
Reactions: Mbu
Duh sasa nyie mnaosema si rahisi kufikia 'uzee'? Mnataka kusema tukate tamaa?
 
Reactions: Mbu
Duh sasa nyie mnaosema si rahisi kufikia 'uzee'? Mnataka kusema tukate tamaa?

hutakiwi kukata tamaa, kwani wewe unaijua kesho itakuwaje? hapa ni 50/50.....wekeza na kula ujana, nani anayajua ya kesho? vyote viwili ni muhimu sana, wachache sana cku hizi wanaoona uzee ndo coz mie nawekeza kwa ajili ya watoto, nikifika huko uzeeni sawa, nicpofika mradi nimewaachia cha kuwasukumia maisha.....lyf limekuwa fupi sana sana.
 
...kwani umri unapigaje hodi? Huhitaji wake up call mwanao akimpa mimba au akipewa mimba ndio ujue jua lishakuchwa..
"Ponda mali kufa kwaja" itaja geuka "kufa hufi cha moto unakiona." Fainali uzeeni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…