Fainali Uzeeni!....

Fainali Uzeeni!....

Mheshimiwa Moskwito salamu.

Unasalimiwa na mjukuu wangu mtiifu....

Haya nambie huu uzee unaouzungumzia hapa ni miaka mingapi hasa? Manake mi nna 65 na bado damu inachangamka!.... Nikiona mambo yanaanza kuharibika nachojoa bila kondom ili nife kabla sijaadhirika LOL

shikamoo babu
 
...uzeeni, a.k.a..retiring age waweza adhirika kwa namna mbili;1. Kwa wale waajiriwa, siku unapopewa notisi urejeshe nyumba ya kampuni/serikali ilhali huna kibanda wala pa kuhamia sababu hukujiandaa, au...2. siku ya ugonjwa/msiba. Watu watapokuja shangaa miaka yote hukuwa japo na kajumba ka kujistiri ilhali kwenye ujana ulikuwa mwingi wa "matanuzi"...

Kuna watu watu huwa wanajisahau sana pale anapo kaa nyumba ya shirika au kampuni hajui gharama za maji, umeme kila kitu anafanyiwa na shirika akistaafishwa kwa manufaa ya umma huwa inakuwa balaa nimeona wengi wao huwa hawachui round wanafariki
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Duh sasa nyie mnaosema si rahisi kufikia 'uzee'? Mnataka kusema tukate tamaa?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Duh sasa nyie mnaosema si rahisi kufikia 'uzee'? Mnataka kusema tukate tamaa?

hutakiwi kukata tamaa, kwani wewe unaijua kesho itakuwaje? hapa ni 50/50.....wekeza na kula ujana, nani anayajua ya kesho? vyote viwili ni muhimu sana, wachache sana cku hizi wanaoona uzee ndo coz mie nawekeza kwa ajili ya watoto, nikifika huko uzeeni sawa, nicpofika mradi nimewaachia cha kuwasukumia maisha.....lyf limekuwa fupi sana sana.
 
...kwani umri unapigaje hodi? Huhitaji wake up call mwanao akimpa mimba au akipewa mimba ndio ujue jua lishakuchwa..
"Ponda mali kufa kwaja" itaja geuka "kufa hufi cha moto unakiona." Fainali uzeeni..
 
Back
Top Bottom