Fainali waliyocheza Simba SC 1993 siyo shirikisho

Unajidanganya sana. Endelea kurukaruka lkn ukweli utabaki km ulivyo. Huwezi kufuta legacy ya Simba.

Mjinga anapoandika huwa anadhani anaowaandikia ni wajinga km yeye.
 
Muulizeni Azim Dewji ndiye alikuwa mfadhili wa Simba wakati huo akawa amewaahidi wachezaji magari aina ya KIA kama wangebeba kombe lilotolewa na Mashood Abiola.

Sina uhakika kwa wachezaji wa Simba kupewa medali.
 
UTOPOLO FC akiwa na mwiko nyuma anakuwa hana akili .
 
Tungaraza alirithi jina kutokana na kuwa yeye nae ndie aliefunga goli la pili kwenye ushindi wa 2-0 kwenye mechi ya Yanga vs Simba kama ilivyokuwa kwa Bolizozo kwa timu yake ya ASEC MIMMOSA ya Ivory Coast.
Mkuu sio Asec Mimosas bali ni Stella Club Adjame
 
Muulizeni Azim Dewji ndiye alikuwa mfadhili wa Simba wakati huo akawa amewaahidi wachezaji magari aina ya KIA kama wangebeba kombe lilotolewa na Mashood Abiola.

Sina uhakika kwa wachezaji wa Simba kupewa medali.

Tuliishia kupewa Toyota Carina zilizoxhoka tena baada ta kukaa sana bandarini akiomba asamehewe kodi
 
Scars OKW BOBAN SUNZU njoeni huku
 
kumbe ufafanuzi ulikuwepo na bado makolo hawaelewi..??
 
Sawa ilikuwa ndondo cup,haya furahi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…