Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Najaribu kuamini kuwa Rais SSH ni mpenda soka ila upande wa Simba au Yanga ni siri yake. Ile mechi ya ligi ya tarehe 3/07 hakupaswa kwenda uwanjani na kuwa mgeni rasmi kwani ilikuwa mechi tu ya kawaida ya ligi.
Mechi aliyopaswa kuwa mgeni rasmi ni hii ya kesho tarehe 25/07 kwani ina umuhimu wake.
Mechi aliyopaswa kuwa mgeni rasmi ni hii ya kesho tarehe 25/07 kwani ina umuhimu wake.