Fainali ya ASFC Kigoma mgeni rasmi angekuwa Rais wa nchi

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Najaribu kuamini kuwa Rais SSH ni mpenda soka ila upande wa Simba au Yanga ni siri yake. Ile mechi ya ligi ya tarehe 3/07 hakupaswa kwenda uwanjani na kuwa mgeni rasmi kwani ilikuwa mechi tu ya kawaida ya ligi.

Mechi aliyopaswa kuwa mgeni rasmi ni hii ya kesho tarehe 25/07 kwani ina umuhimu wake.
 
Vyura kesho wanapoteana lake Tanganyika
 
Usiwe na shaka atakuwepo kwenye mchezo huo na tumejiridhisha kwamba Mazingira yapo sawa kabisa
 
Mnyama na Mwananchi wapi na wapi!! Ni kuchinja tu!! Ahudhurie Rais/rais, asihudhurie!! Kipigo kiko pale pale!!
 
Mechi za Simba na yanga akipelekwa raisi tu jua Simba tunapigwa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…