Fainali ya ASFC | Yanga SC 3 (4) - 3 (1) Coastal Union | Uwanja wa Sheikh Amri Abeid | Yanga BINGWA

Yani we nimekuona kuwa ni shabiki wa Yanga kwenye zile mechi za mwisho mwisho Yanga alizotangaza ubingwa

Na hapa tangu uzi unaanza nimekuona baada ya Yanga kuchomoa bao 3. Hii inamaanisha nini?
Daah aisee..! Hili swali kwa mlengwa limenifanya nicheke sana yaani..!
 
Makolo wakati huu
 

Attachments

  • FWq3ezYXkAA70v5.jpeg
    33.3 KB · Views: 4
Ni kweli coastal wamejitahidi sana, sio kama wale wa pale Kirumba ndani ya dakika 90 tu walishakubali yaishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…