data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
🤣🤣😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahaha nkane kawanusuru?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahaha nkane kawanusuru?
Daah aisee..! Hili swali kwa mlengwa limenifanya nicheke sana yaani..!Yani we nimekuona kuwa ni shabiki wa Yanga kwenye zile mechi za mwisho mwisho Yanga alizotangaza ubingwa
Na hapa tangu uzi unaanza nimekuona baada ya Yanga kuchomoa bao 3. Hii inamaanisha nini?
Yanga ndio wa kwanza kufanya hivyo kipindi cha kina Ngoma na Kamusoko tulibeba makombe yote..Dah! We mgeni hapa bongo? Kwahiyo tangu uwepo hujawahi kuona timu inanyanyua makwapa makombe yote hapa Tz ?
Mbona simba kanyanyua makombe yote miaka karibia 3 mfululizo ?
Kwetu fraaaaaaaaah,[emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169]
wananchiiii
Lipeleke sasaHilo kombe lilitakiwa kuwa kwaa wagosi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hongereni makolo kwa ubingwa wa sopu cup
Coastal union ni wazuri kuliko simba, 120 minutes siyo mchezoHongereni makolo kwa ubingwa wa sopu cup
Kunyweni maji kwa mbinde sanaaLipeleke sasa
Alafu kolo majinga, angebeba Coastal yasingecheza ngao ya jamii sijui kwa nn yalikua yanaishangilia Coastal ilhal angewanyima nafasi ya kucheza ngao. Haya hayanaga akili kabisa.Tunachoshukuru ni kwamba wanakuja tena kwenye ufunguzi wa ligi
Ndio maana yanaitwa mambumbumbuAlafu kolo majinga, angebeba Coastal yasingecheza ngao ya jamii sijui kwa nn yalikua yanaishangilia Coastal ilhal angewanyima nafasi ya kucheza ngao. Haya hayanaga akili kabisa.
💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩Yanga ndio wa kwanza kufanya hivyo kipindi cha kina Ngoma na Kamusoko tulibeba makombe yote..
Na Mpole shoes....🙄🙄Hongereni makolo kwa ubingwa wa sopu cup
Ni kweli coastal wamejitahidi sana, sio kama wale wa pale Kirumba ndani ya dakika 90 tu walishakubali yaishe.So far wamejitahidi sana coastal, sikuweza kudhania kama wangefika umbali huu.
Nikilinganisha ile mechi ambayo walipasuka kamba 3 hapa lupaso niliona hii mechi ina3nda kuwa simple sana kwa Yanga.
Ngoja tuone penati zitaamua nini ila mpaka hapa jitihada wamezionesha big up kwao.