Fainali ya ASFC | Yanga SC 3 (4) - 3 (1) Coastal Union | Uwanja wa Sheikh Amri Abeid | Yanga BINGWA

Hakuna namna Kwa wanavyocheza coast wasifungwe labda Leo iwe siku ya bahati Kwa Coast. lakini Kwa mpira wanavyo cheza Yanga wanastahili kushinda.
hakuna mpira wachawi na mganga walimuweka kwenye benchi la UFUNDI
mashabiki walitaka wamchomoe katoka nduki balaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ungeona ungecheka

Bongo mpira bila uchawi hauendi

hawa jamaa wanacheza mpira nje ya uwanja
na kirimoti a.k.a kiminyio
Uchawi wa pangani
 
hakuna mpira wachawi na mganga walimuweka kwenye benchi la UFUNDI
mashabiki walitaka wamchomoe katoka nduki balaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ungeona ungecheka

Bongo mpira bila uchawi hauendi
Ata kama uchawi unatumika inatakiwa na timu iwe na uwezo lakini Kwa namna mechi inavyo chezwa mbaka half time, Coast wamezidiwa Kila idara Kwaiyo ni swala la muda tu.
 
Full time
Yanga 3
Wagosi 1

Tunaua yote leo second half niamini
 
Ata kama uchawi unatumika inatakiwa na timu iwe na uwezo lakini Kwa namna mechi inavyo chezwa mbaka half time, Coast wamezidiwa Kila idara Kwaiyo ni swala la muda tu.
Huu ni mpira na hii ni fainali hii. Pamoja na kuzidiwa... pressure ni kubwa kwa wachezaji
 
Utashangaa Yanga anashinda pamoja na CU kuwa mbele
 
Leo tumekamatika. 😩

Ila kitambo tu nimekuwa nikiwasifia hawa Wagosi wenzangu wa Kaya. Kimsingi wana wachezaji wengi vijana, na wenye vipaji.
Msipanic kiongozi. Utopolo mko vizuri mwaka huu.
 
57' Feisal Goooooooooooooaaal gooal

Feisal anaisawazishia Yanga SC bao, akipokea pasi kutoka kwa Makambo

Yanga SC 1-1 Coastal Union
 
mchawi wetu tulishamjua alikaa hapa karudi tena lakini hana kazi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…