Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna mpira wachawi na mganga walimuweka kwenye benchi la UFUNDIHakuna namna Kwa wanavyocheza coast wasifungwe labda Leo iwe siku ya bahati Kwa Coast. lakini Kwa mpira wanavyo cheza Yanga wanastahili kushinda.
Ata kama uchawi unatumika inatakiwa na timu iwe na uwezo lakini Kwa namna mechi inavyo chezwa mbaka half time, Coast wamezidiwa Kila idara Kwaiyo ni swala la muda tu.hakuna mpira wachawi na mganga walimuweka kwenye benchi la UFUNDI
mashabiki walitaka wamchomoe katoka nduki balaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ungeona ungecheka
Bongo mpira bila uchawi hauendi
Leo tumekamatika. 😩Njoo huku
Huu ni mpira na hii ni fainali hii. Pamoja na kuzidiwa... pressure ni kubwa kwa wachezajiAta kama uchawi unatumika inatakiwa na timu iwe na uwezo lakini Kwa namna mechi inavyo chezwa mbaka half time, Coast wamezidiwa Kila idara Kwaiyo ni swala la muda tu.
Msipanic kiongozi. Utopolo mko vizuri mwaka huu.Leo tumekamatika. 😩
Ila kitambo tu nimekuwa nikiwasifia hawa Wagosi wenzangu wa Kaya. Kimsingi wana wachezaji wengi vijana, na wenye vipaji.
Chezeni mpira acheni ujingakwenye benchi la Costa kuna mchawi ku**mak
tumemuona
bahati yake kakimbia
gol la mchongoFeisal Goooooooooooooaaal gooal
Penati au?gol la mchongo
Kumbe Yanga mna wazeeLeo tumekamatika. 😩
Ila kitambo tu nimekuwa nikiwasifia hawa Wagosi wenzangu wa Kaya. Kimsingi wana wachezaji wengi vijana, na wenye vipaji.
Makolo mnateseka mkiwa wapi!? Ha ha ha aahUto wanechomoa
Walivyogongwa 3 hapo kwa mkapa huyu alikuwepoLeo Tunamtambulisha Rasmi Huyu Baller Apo Sheikh Amri Abeid.View attachment 2279134