Hii sopu Sijui itakuwa brand gani88' Sopu Goooooooooooaaal goal
Abdul Sopu anaipatia Coastal Union bao la pili, akijitwisha kichwa na kumuacha golikipa Diara akiangalia tu, Kijana hatari sana.
Yanga SC 2-2 Coastal Union
Wapi nimesema Yanga ina wachezaji wazee! Mimi nimesema Coastal ina wachezaji wengi vijana.Kumbe Yanga mna wazee
Moyo wangu ukiwa Yanga mbona chapu tu namtuna bodaboda akaufateAkili yako iko Simba ila moyo wako uko Yanga.
Unanifokea au? Pambaneni na kombe lenu hiloWapi nimesema Yanga ina wachezaji wazee! Mimi nimesema Coastal ina wachezaji wengi vijana.
Kama unataka nikuelezee kuhusu Yanga, basi nitakuambia Yanga ina wachezaji wengi wazoefu na wenye vipaji vikubwa vya kuasakata kabumbu.
Timu yako ya simba ndiyo timu inayo ongoza kwa sasa, kwa kuwa na wachezaji wengi wazee. Hivyo usiisingizie kabisa timu ya wananchi.
Dk 30Mechi ikiisha sare nini kinafata?
Matuta mzee, na mayele sijui kama watampangaMechi ikiisha sare nini kinafata?
Ma2taMechi ikiisha sare nini kinafata?
Mchezaji gani mzee ambaue yuko Simba kamzidi unri ronaldo?Wapi nimesema Yanga ina wachezaji wazee! Mimi nimesema Coastal ina wachezaji wengi vijana.
Kama unataka nikuelezee kuhusu Yanga, basi nitakuambia Yanga ina wachezaji wengi wazoefu na wenye vipaji vikubwa vya kuasakata kabumbu.
Timu yako ya simba ndiyo timu inayo ongoza kwa sasa, kwa kuwa na wachezaji wengi wazee. Hivyo usiisingizie kabisa timu ya wananchi.
Wakimpa penati tujiandae kudaka mpira huku mianziniMatuta mzee, na mayele sijui kama watampanga
Na ikitokea amefunga ata vibrate kinoma kulipizia kipindi chote alichoshindwa kufungaWakimpa penati tujiandae kudaka mpira huku mianzini
Tatizo la Mwamnyeto siku zote ni kuzubaa, kujisahau na pia kujiamini kupita kiasi.Kuna Upuuzi Pale Nyuma, Mwamnyeto Hayuko Serious na Watu Wake Nyuma
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sema sio mbaya si tayati mkononi mna jagi mlilo beba juzi.Tatizo la Mwamnyeto siku zote ni kuzubaa, kujisahau na pia kujiamini kupita kiasi.
Siyo beki ya kazi kazi kama ilivyokuwa kwa mabeki waandamizi wa Yanga, mfano Kelvin Yondani na Nadir Haroub Cannavaro.
Anyway, ngoja tuone itakuwaje. Ila mabeki wameonyesha udhaifu mkubwa kwenye goli la pili.
Huyu Yanga Sc kikawaida huwa hafui dafu kwa Coastal (tangu miaka huko nyuma) , ni vile tu binadamu tumeumbwa kusahau ndomaana uliwaona wakiwa na viburi.Kwa hiyo Aziz Ki anashuhudia live toka uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume timu yake mpya wakitoana jasho na watoto wadogo hawa Coast?