Fainali ya ASFC | Yanga SC 3 (4) - 3 (1) Coastal Union | Uwanja wa Sheikh Amri Abeid | Yanga BINGWA

Fainali ya ASFC | Yanga SC 3 (4) - 3 (1) Coastal Union | Uwanja wa Sheikh Amri Abeid | Yanga BINGWA

Sio mara ya kwanza kukuona ukimlalamikia Mwamnyento na point zako juu yake huwa ni za kweli, sema tu huwa unashindwa kunyoosha maelezo

Mwamnyeto sio beki wa kutegemea kwenye mechi zenye tension (avarage player), hii beki ukiingia nayo kimataifa hutoki na cleanshit. Usajili wa CB mwingine ni wa muhimu sana.
Ana mwili mzuri! Ila ana mapungufu mengi. Siku zote anafichiwa madhaifu yake na akina Bangala. Wakipotea hao, na yeye anapotea.

Anyway, Coastal wanastahili kuwa mabingwa. Wamecheza mchezo mzuri. Sema ndiyo hivyo tena, hiki kikosi kikiparanganyika, Kimataifa watakuwa ni wasindikizaji tu.
 
Inshallah yanga itashinda Leo kwa mikwaju ya penalty
Hapana mpira huu haufiki penati. Ni dakika 120 anatoka mtu. Labda ishinde ndani ya huo muda. Mabingwa hawasubiri penati
 
Back
Top Bottom