Ana mwili mzuri! Ila ana mapungufu mengi. Siku zote anafichiwa madhaifu yake na akina Bangala. Wakipotea hao, na yeye anapotea.Sio mara ya kwanza kukuona ukimlalamikia Mwamnyento na point zako juu yake huwa ni za kweli, sema tu huwa unashindwa kunyoosha maelezo
Mwamnyeto sio beki wa kutegemea kwenye mechi zenye tension (avarage player), hii beki ukiingia nayo kimataifa hutoki na cleanshit. Usajili wa CB mwingine ni wa muhimu sana.
Maneno ya mkosaji.Walisahau kutoa bahasha leo..🤣🤣🤣
3 kwa 2Matokeo tafadhari
hawakufika kiwango kilichotakiwaWalisahau kutoa bahasha leo..🤣🤣🤣
Nani 3?3 kwa 2
Kosto yunioniNani 3?
Hapana mpira huu haufiki penati. Ni dakika 120 anatoka mtu. Labda ishinde ndani ya huo muda. Mabingwa hawasubiri penatiInshallah yanga itashinda Leo kwa mikwaju ya penalty
Mkuu kwani akishinda Coastal leo kuna shida gani?Inshallah yanga itashinda Leo kwa mikwaju ya penalty
Bila bahasha mnarukaruka tu.Maneno ya mkosaji.
Hana ubavu wa kushinda mda utasemaMkuu kwani akishinda Coastal leo kuna shida gani?
Wabaili hawa maboss zetu ona tunavotesekahawakufika kiwango kilichotakiwa