KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
UNA HOJA KUBWA MNO..Serikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF
Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho
Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati
Fedha zote hizo zilifanya Nini?
Pitch mbovu
Vyoo vibovu
Viti vibovu
Walioiba pesa zetu watoke wambie radhi na kuukarabati huu uwanja
Au mnafanya maksudi ili matukio makubwa ya kitalii wa michezo yaende kutangaza Zanzibar na sio Tanganyika
Simba ni timu ya Tanganyika ilitakiwa final ya CAF ichezwe Tanganyika sio nchi nyingine ya Zanzibar
Tunataka final ya CAFCC ichezwe Tanganyika na Watanganyika wafurahie timu zao
Wazanzibar waanzishe timu zao ziwe kama Simba na Yanga sio huu uhuni wa kupuuza kutengeneza miundo mbinu ya viwanja vya Tanganyika ili matukio makubwa yakija yaende Zanzibar
serikali ipi iombe radhi?Serikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF
Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho
Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati
Fedha zote hizo zilifanya Nini?
Pitch mbovu
Vyoo vibovu
Viti vibovu
Walioiba pesa zetu watoke wambie radhi na kuukarabati huu uwanja
Au mnafanya maksudi ili matukio makubwa ya kitalii wa michezo yaende kutangaza Zanzibar na sio Tanganyika
Simba ni timu ya Tanganyika ilitakiwa final ya CAF ichezwe Tanganyika sio nchi nyingine ya Zanzibar
Tunataka final ya CAFCC ichezwe Tanganyika na Watanganyika wafurahie timu zao
Wazanzibar waanzishe timu zao ziwe kama Simba na Yanga sio huu uhuni wa kupuuza kutengeneza miundo mbinu ya viwanja vya Tanganyika ili matukio makubwa yakija yaende Zanzibar
Simba ingekua na uwanja wake yangetokea yote aya
Hawana jadi hiyoSerikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF
Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho
Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati
Fedha zote hizo zilifanya Nini?
Pitch mbovu
Vyoo vibovu
Viti vibovu
Walioiba pesa zetu watoke wambie radhi na kuukarabati huu uwanja
Au mnafanya maksudi ili matukio makubwa ya kitalii wa michezo yaende kutangaza Zanzibar na sio Tanganyika
Simba ni timu ya Tanganyika ilitakiwa final ya CAF ichezwe Tanganyika sio nchi nyingine ya Zanzibar
Tunataka final ya CAFCC ichezwe Tanganyika na Watanganyika wafurahie timu zao
Wazanzibar waanzishe timu zao ziwe kama Simba na Yanga sio huu uhuni wa kupuuza kutengeneza miundo mbinu ya viwanja vya Tanganyika ili matukio makubwa yakija yaende Zanzibar
Wanakarabati uwanja kwa mwaka mmoja kwa pesa nyingi sana kiasi cha bilioni 30 tena hicho kiasi kilitangazwa nyuma ya mikameraWana simba itabidi tusiwapigie lura CCM kwa kweli...
Huu uhuni ni mkubwa mnoo
Nchi shamba la bibi, wanajanja wanajichotea tu.Wanakarabati uwanja kwa mwaka mmoja kwa pesa nyingi sana kiasi cha bilioni 30 tena hicho kiasi kilitangazwa nyuma ya mikamera
Binafsi nimeanza kupoteza imani kabisa na umakini wa serikali hii,bahati mbaya hatuna watu mbadala wa kuwaaminiSerikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF
Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho
Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati
Fedha zote hizo zilifanya Nini?
Pitch mbovu
Vyoo vibovu
Viti vibovu
Walioiba pesa zetu watoke wambie radhi na kuukarabati huu uwanja
Au mnafanya maksudi ili matukio makubwa ya kitalii wa michezo yaende kutangaza Zanzibar na sio Tanganyika
Simba ni timu ya Tanganyika ilitakiwa final ya CAF ichezwe Tanganyika sio nchi nyingine ya Zanzibar
Tunataka final ya CAFCC ichezwe Tanganyika na Watanganyika wafurahie timu zao
Wazanzibar waanzishe timu zao ziwe kama Simba na Yanga sio huu uhuni wa kupuuza kutengeneza miundo mbinu ya viwanja vya Tanganyika ili matukio makubwa yakija yaende Zanzibar
Serikali hawajali maslahi ya TaifaBinafsi nimeanza kupoteza imani kabisa na umakini wa serikali hii,bahati mbaya hatuna watu mbadala wa kuwaamini
Yaani fainali ya looser ni tukio kubwa we unaakili timamu kweliSerikali hawajali maslahi ya Taifa
Hili tukio la fainali ni kubwa hapa Africa na Duniani
Sio rahisi kulipata
Wangelitumia vizuri
Najiuliza ingekuwaje ingekuwa nchi kama Rwanda
Hapo kwenye Tanganyika yetu nikamkumbuka LisuSerikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF