Fainali ya CAFCC isipopigwa Taifa, Serikali itoke hadharani kuomba radhi

Serikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF

Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho

Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati
Fedha zote hizo zilifanya Nini?

Pitch mbovu
Vyoo vibovu
Viti vibovu

Walioiba pesa zetu watoke wambie radhi na kuukarabati huu uwanja

Au mnafanya maksudi ili matukio makubwa ya kitalii wa michezo yaende kutangaza Zanzibar na sio Tanganyika

Simba ni timu ya Tanganyika ilitakiwa final ya CAF ichezwe Tanganyika sio nchi nyingine ya Zanzibar

Tunataka final ya CAFCC ichezwe Tanganyika na Watanganyika wafurahie timu zao

Wazanzibar waanzishe timu zao ziwe kama Simba na Yanga sio huu uhuni wa kupuuza kutengeneza miundo mbinu ya viwanja vya Tanganyika ili matukio makubwa yakija yaende Zanzibar
UNA HOJA KUBWA MNO..
NI Q**A TU HAZITAKUELEWA..
 
Simba hawana haki ya kuilalamikia serikali kuhusu uwanja wa Mkapa.
Sawasawa Barcelona au Madrid wailalamikie serikali kuhusu uwanja wa taifa wa Spain ilhali wana viwanja vyao.
 
Tanganyika yangu
 
Serikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF

Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho

Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati
Fedha zote hizo zilifanya Nini?

Pitch mbovu
Vyoo vibovu
Viti vibovu

Walioiba pesa zetu watoke wambie radhi na kuukarabati huu uwanja

Au mnafanya maksudi ili matukio makubwa ya kitalii wa michezo yaende kutangaza Zanzibar na sio Tanganyika

Simba ni timu ya Tanganyika ilitakiwa final ya CAF ichezwe Tanganyika sio nchi nyingine ya Zanzibar

Tunataka final ya CAFCC ichezwe Tanganyika na Watanganyika wafurahie timu zao

Wazanzibar waanzishe timu zao ziwe kama Simba na Yanga sio huu uhuni wa kupuuza kutengeneza miundo mbinu ya viwanja vya Tanganyika ili matukio makubwa yakija yaende Zanzibar
serikali ipi iombe radhi?
 
Hawana jadi hiyo
 
Wana simba itabidi tusiwapigie lura CCM kwa kweli...
Huu uhuni ni mkubwa mnoo
 
Serikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF

Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho

Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati
Fedha zote hizo zilifanya Nini?

Pitch mbovu
Vyoo vibovu
Viti vibovu

Walioiba pesa zetu watoke wambie radhi na kuukarabati huu uwanja

Au mnafanya maksudi ili matukio makubwa ya kitalii wa michezo yaende kutangaza Zanzibar na sio Tanganyika

Simba ni timu ya Tanganyika ilitakiwa final ya CAF ichezwe Tanganyika sio nchi nyingine ya Zanzibar

Tunataka final ya CAFCC ichezwe Tanganyika na Watanganyika wafurahie timu zao

Wazanzibar waanzishe timu zao ziwe kama Simba na Yanga sio huu uhuni wa kupuuza kutengeneza miundo mbinu ya viwanja vya Tanganyika ili matukio makubwa yakija yaende Zanzibar
Binafsi nimeanza kupoteza imani kabisa na umakini wa serikali hii,bahati mbaya hatuna watu mbadala wa kuwaamini
 
Serikali hawajali maslahi ya Taifa
Hili tukio la fainali ni kubwa hapa Africa na Duniani
Sio rahisi kulipata
Wangelitumia vizuri

Najiuliza ingekuwaje ingekuwa nchi kama Rwanda
 
Yaani fainali ya looser ni tukio kubwa we unaakili timamu kweli
 
Serikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF

Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho

Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati
Fedha zote hizo zilifanya Nini?

Pitch mbovu
Vyoo vibovu
Viti vibovu

Walioiba pesa zetu watoke wambie radhi na kuukarabati huu uwanja

Au mnafanya maksudi ili matukio makubwa ya kitalii wa michezo yaende kutangaza Zanzibar na sio Tanganyika

Simba ni timu ya Tanganyika ilitakiwa final ya CAF ichezwe Tanganyika sio nchi nyingine ya Zanzibar

Tunataka final ya CAFCC ichezwe Tanganyika na Watanganyika wafurahie timu zao

Wazanzibar waanzishe timu zao ziwe kama Simba na Yanga sio huu uhuni wa kupuuza kutengeneza miundo mbinu ya viwanja vya Tanganyika ili matukio makubwa yakija yaende Zanzibar
Hapo kwenye Tanganyika yetu nikamkumbuka Lisu
 
Back
Top Bottom