Fainali ya CRDB bank taifa cup jijini Tanga

Fainali ya CRDB bank taifa cup jijini Tanga

Blasio Kachuchu

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
366
Reaction score
243
OTMI2454.jpeg

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa (katikati) akirusha mpira juu kuashiria kuanza kwa mchezo wa fainali kati ya Dar es salaam na Unguja (Wanawake) wa mashindano ya CRDB Bank Taifa Cup yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Bandari Jijini Tanga. Watatu Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela.
OTMI2430.jpeg

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa (mwenye fulana yenye bedera ya taifa) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mkoa wa Tanga, Viongozi wa Benki ya CRDB pamoja na viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini wakati wa fainali ya mashindano ya CRDB Bank Taifa Cup yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Bandari Jijini Tanga.
OTMI2406_1.jpeg

OTMI2399_1.jpeg

Ukaguzi wa timu.

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa akizungumza jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakati alipowasili kwenye viwanja vya Bandari Jijini Tanga kulikofanyika fainali ya mashindano ya CRDB Bank Taifa Cup yaliyofanyika mwishoni mwa wiki.

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa akizungumza wakati akifunga mashindano ya CRDB Bank Taifa Cup yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, kwenye viwanja vya Bandari Jijini Tanga.

OTMI3252.jpeg

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza wakati wa fainali ya mashindano ya CRDB Bank Taifa Cup yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, kwenye viwanja vya Bandari Jijini Tanga.

OTMI3491.jpeg


OTMI2781.jpeg




OTMI2678.jpeg


OTMI2526.jpeg


OTMI2492.jpeg
 
Back
Top Bottom