Mabasi hayakamatwi wanayo yamiliki wanamalizana na Traffic ikitokea ajali wiki moja au mbili wakali baadaye yale yale, Watanzania wanasahau. Nimetembea miezi hii sana ara kuu Dar - Tunduma. Dar - mombasa n.k. all most miezi nane nilikuwa ns kazi. Wenye magari madogo ndio tunakoma killa sehemu unakamatwa, mabasi malori tunaingozana nao hadi 120km kwa saa wanapeta tu. Upite wewe uone utakinae safari yoote wewe na Traffic tu.
Na vijiji bara bar kuu ilivyo maeneo mengi ukifuata sheria bass elewa km 300 utatembea masaa 7. Malori mengi. Yaani ukipata clear hao wamekukamata ni kero kwa kwenda mbele..