Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Leo ndio leo, Fainali ya Azam Sports Federation kati ya Simba Vs Namungo, mechi itakayopigwa uwanja wa Nelson Mandela pale Sumbawanga, Rukwa.
Kama kawaida yetu, tupia utabiri wako nani anashinda kwa magoli mangapi? Ikiwezekana taja na wachezaji watakaoingia nyavuni!
Mimi naanza, Simba 3-1 Namungo
Wafungaji, Mkude na Bocco
Karibu uendelee na wewe...