Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Namungo anashidaLeo ndio leo, Fainali ya Azam Sports Federation kati ya Simba Vs Namungo, mechi itakayopigwa uwanja wa Nelson Mandela pale Sumbawanga, Rukwa.
Kama kawaida yetu, tupia utabiri wako nani anashinda kwa magoli mangapi? Ikiwezekana taja na wachezaji watakaoingia nyavuni!
Mimi naanza, Simba 3-1 Namungo
Wafungaji, Mkude na Bocco
Karibu uendelee na wewe...
Namungo anashida
2-0 konde boy zote
Gerson Fraga, Kahata, Deo Kanda, (3- 1) Birgirimana Blaise
Mnyama Simba 3 - 1 Namungo
Simba nguvu moja
Simba bingwa ASFC
Acha ungese brooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namungo 2 - 1 Mbumbumbu fc
Leo ndio leo, Fainali ya Azam Sports Federation kati ya Simba Vs Namungo, mechi itakayopigwa uwanja wa Nelson Mandela pale Sumbawanga, Rukwa.
Kama kawaida yetu, tupia utabiri wako nani anashinda kwa magoli mangapi? Ikiwezekana taja na wachezaji watakaoingia nyavuni!
Mimi naanza, Simba 3-1 Namungo
Wafungaji, Mkude na Bocco
Karibu uendelee na wewe...
2-2 FT
Penalty ,Simba win
Namungo 2 - 1 Mbumbumbu fc
Simba 2 na Namungo yai 0