Fainali ya Simba Vs Namungo Fc

Sumbawanga mji mkali sana.sie tulio dar tunajiona bora kumbe ni majengo ya serikali tu .Sumbawanga imepangika.naomba wawe na timu ligi kuu watu twende twende kidogo.
ule uwanja kuna mtu nilikuwa naangalia naye mpira akaniuliza hivi hii ni afrika kusini au wapi. nilipomwambia sumbawanga kasema daaa hapo dar tunaishi kama uswazi vile. uwanja wa nelson mandela upo vizuri na huwa nashangaa hivi simba na yanga wanakwama wapi kuwa na kiwanja kama kile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…