Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa matokeo acha kelele....Simba Chama la wana
ule uwanja kuna mtu nilikuwa naangalia naye mpira akaniuliza hivi hii ni afrika kusini au wapi. nilipomwambia sumbawanga kasema daaa hapo dar tunaishi kama uswazi vile. uwanja wa nelson mandela upo vizuri na huwa nashangaa hivi simba na yanga wanakwama wapi kuwa na kiwanja kama kile?Sumbawanga mji mkali sana.sie tulio dar tunajiona bora kumbe ni majengo ya serikali tu .Sumbawanga imepangika.naomba wawe na timu ligi kuu watu twende twende kidogo.
PatheticToa matokeo acha kelele....
We kuwa na subra utawaona tu kwenye uzi huu