Fainali ya UEFA ni Liverpool Vs Manchester City

Liverpool vs Barca
Naona barca wakipata tabu, kwa sababu nyie mnacheza mpira wa speed, hii itawatesa sana barca.
Sioni barca wakivuka , japo mpira ni game plane na how players will perform pia una maajabu yake.

Sent using simu mbovu
Yaani ili baca wakufunge ni lazima wakushambulie sana. Waweze kukutawala kati. Sasa angalia liverpool ya saivi inatawalika kati? Pili forward za liverpool zote zinakimbiza wakati beki za barca haziwezi kukimbizwa. Baca out kwa liverpool
 
... sidhani kama Liverpool ataweza kumtoa Barca kirahisi kama unavyofkiria.
... juventus pekee ndie anaweza kumsumbua Barca.
 
Good trying

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... sidhani kama Liverpool ataweza kumtoa Barca kirahisi kama unavyofkiria.
... juventus pekee ndie anaweza kumsumbua Barca.
Subiri muda ndugu. Hii game ipo na itapigwa nje ndani
 
Hatuwezi wote kuona katika mtazamo sawa, ila mimi kiukweli najua Messi hakabiki, anaweza kujikaba mwenyewe tu.

Kwa zaidi ya miaka 10, hakuna beki anayeweza kujisifu kwamba amefanikiwa kupata mbinu ya kumakaba Messi.
Mkuu naona una mahaba kuliko uhalisia binafsi mimi naamini kila mchezaji anakabika ila wachache ni vigumu kuwakaba (ila wanakabika) ndio maana wachezaji wote timu zao zinafungwa na wanaumia hata huyo messi unayesema anajikaba mwenyewe tu sio kweli kwani kuna game nyingi tu za kuhitaji matokeo barca kapigwa na yeye akiwa uwanjani dk 90 usiniambie kwamba alikuwa anajikaba mwenyewe asifunge ili timu yake itoke

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ni utabiri tu ila mara zote unapoinyima nafasi timu giant kama Barca au Madrid kwa timu nyingne yoyote lazima uwe against na wengi
Wanaoniandama wengi wananiandama kwakua nimesema barcelona atatolewa na Liverpool. Tusubiri mda ufike

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 

Probably ni mahaba, na kitu ukishakijadili kwa mfumo wa mahaba ni ngumu kuwa objective.

Barcelona inafungwa nakubaliana na wewe, lakini kuna mazingira unaikamata halafu out of no where Messi anaharibu.

Nikisema hakabiki, namaanisha hakuna game plan against Messi iliyoprove kumkaba on consistence basis.
 
Kwahiyo Barcelona akishinda messi ameshindwa kukabika
Akifungwa wachezaji wengne apart from messi wamekabwa?
Ninavyojua Barca akifungwa bado huwa wanaongoza possession,mipira inawafikia wachezaji wote ikiwemo messi ila wanakuwa wamebanwa kuleta impact yoyote kwa mpinzani means wamekabwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni utabiri tu ila mara zote unapoinyima nafasi timu giant kama Barca au Madrid kwa timu nyingne yoyote lazima uwe against na wengi

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Unajua mdau mwenzangu kwanza tuelewe kwa sasa vilabu vingi ni vya kawaida sana. Na vilabu vingi vimeshuka sana kimpira. Barca tunamsifu lakini sio kama amekutana kilabu kilichokua kiko onfire. Tumemuona akicheza na madrid na atletico ambao wote saivi wanacheza tu lakini sio ile atletico tunayoijua. Saivi vilabu ambavyo tunaweza kusema ziko vizuri ni vitatu kwa upande wangu. Man city, liverpool na Juventus.

Bayern, atletico, real, man united, psg, dortmond, chelsea, lazio, roma, sevilla, valencia, arsenal. Hizi zote ni timu za kawaida tu kwa msimu huu. Kwa iyo saivi ndo kidogo anaanza kukutana na nguli hapo nusu. Na ATakiona cha mtema kuni
 
Hata mimi naamini kana semi's barca atakutana na liver ni wazi Barca anaaga na hakuna maajabu ni kawaida kabisaa kwa ubora wa vikosi vyao kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi naamini kana semi's barca atakutana na liver ni wazi Barca anaaga na hakuna maajabu ni kawaida kabisaa kwa ubora wa vikosi vyao kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Declaring my interest, mimi ni mshabiki wa Liverpool.

So, nime-opt prudent principal ndiyo maana sitaki kujiamini kwamba hiyo game tutaishinda kirahisi, sitaki kupata upsets ikitokea tusishinde.

Na hapo kwa sehemu kubwa naogopa game ya Messi kwa sababu anakuwa na free role kiasi kwamba sioni kama tuna mtu wa kwenda naye man to man.

Na wakati huo Suarez is another big threat kwangu, considering kwamba hana pressure na Anfield.
 
Ngoja tusubiri muda ufike tu coz hii mechi ishakuwa na asilimia kubwa kutokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja tusubiri muda ufike tu coz hii mechi ishakuwa na asilimia kubwa kutokea

Sent using Jamii Forums mobile app

True, naiamini sana Liverpool, especially now baada ya kocha kupata combination nzuri kwenye Mid ya Fabinho, Keita na Hendo.

Lakini pamoja na hivyo, lazima respect kwa Barca iwepo, hasa kwa sababu ya uwepo wa Best Player on The Planet, anytime anaweza kufanya chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…