Unajua mdau mwenzangu kwanza tuelewe kwa sasa vilabu vingi ni vya kawaida sana. Na vilabu vingi vimeshuka sana kimpira. Barca tunamsifu lakini sio kama amekutana kilabu kilichokua kiko onfire. Tumemuona akicheza na madrid na atletico ambao wote saivi wanacheza tu lakini sio ile atletico tunayoijua. Saivi vilabu ambavyo tunaweza kusema ziko vizuri ni vitatu kwa upande wangu. Man city, liverpool na Juventus.
Bayern, atletico, real, man united, psg, dortmond, chelsea, lazio, roma, sevilla, valencia, arsenal. Hizi zote ni timu za kawaida tu kwa msimu huu. Kwa iyo saivi ndo kidogo anaanza kukutana na nguli hapo nusu. Na ATakiona cha mtema kuni