FAINALI: Yanga Vs Mamelod Sundowns, nani kulibeba kombe?

FAINALI: Yanga Vs Mamelod Sundowns, nani kulibeba kombe?

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,385
Reaction score
10,659
Kwa pira la mtani jana, basi kuna uwezekano wakatinga fainali na ikawa Yanga vs Mamelod. Je, unatupa karata kwa nani?

Asee watani jana mlijua kutukomesha. Soka safi lenye matokeo chanya. Lile liPacome, sijui Aziz K asee so nice. Kipa safi kabisa na defence ya maana. Pale kati mliupiga mwingi mpk ukamwagika.

Hongereni na kila la kheri huko Robo.

"Simba ni Simba na kamwe hasinyai kuwa chura"
 
Mamelodi ambayo ni mshindi wa tatu afcon😃
 
Mamelodi ambayo ni mshindi wa tatu afcon😃
Ndio kwani CRB mlijua km atafungwa na Yanga maana alimpiga 3-0 kwao mlijua atagongwa 4-0 na Yanga?

Hao Mamelodi wakikutana na Yanga wanaweza wakachakazwa mpaka mkose cha kuongea ngoja nisimalize maneno mpira dakika 90'+5
 
Mdomo uliponza kichwa mtunze akiba ya maneno
 
Back
Top Bottom