Ndio kwani CRB mlijua km atafungwa na Yanga maana alimpiga 3-0 kwao mlijua atagongwa 4-0 na Yanga?Mamelodi ambayo ni mshindi wa tatu afcon😃
Mdomo uliponza kichwa mtunze akiba ya manenoNdio kwani CRB mlijua km atafungwa na Yanga maana alimpiga 3-0 kwao mlijua atagongwa 4-0 na Yanga?
Hao Mamelodi wakikutana na Yanga wanaweza wakachakazwa mpaka mkose cha kuongea ngoja nisimalize maneno mpira dakika 90'+5
Nyinyi subirini Asec aje awaabishe hapo kwa Nkapa alafu muendelee kumuangalia Yanga mpaka Fainali,Mdomo uliponza kichwa mtunze akiba ya maneno