Faini ya CAF kwa Biashara inatisha

Faini ya CAF kwa Biashara inatisha

Kushika nafasi ya kwanza hadi ya nne kwenye lugi kuu au kuwa bingwa kombe la FA visiwe vigezo pekee vya kuzipitisha hizo timu ziende kucheza mashindano ya CAF, wawe wanaulizwa pia kama wanauwezo wakujigharamia katika mashindano hayo, kama hawana ni bora iteuliwe timu ya sita au ya saba kwenye msimamo wa ligi kuu inayojiweza kama ni Polisi TZ au Ruvu shooting ikatuwakilishe kuliko kuliletea aibu taifa. Ilitakiwa tujifunze kwa Mtibwa Sugar, walishatuletea aibu kama hii huko miaka ya nyuma, walifungiwa kwa miaka miwili na faini juu.
 
Washaur yao tuliwaambia mapema hawakusikia

Wapambane na hali zao
 
Kumbe Marefarii wetu wanapokataa baadhi ya magoli ya timu ndogo zinapocheza na SIMBA au Yanga ni halali tu. (Kama yule refa mwaka jana aliyesema goli walilofungwa Yanga ni Kona)

Hizi Timu ndogo zikipata ubingwa zinashindwa hata kusafiri kwenda nje ya nchi ni aibu kwa Taifa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "Goli walilofunga ni kona'
 
Kiukweli gap la Mh Adam Kighoma Malima linaonekana wazi ktk kutetereka kwa Biashara Utd
 
Walidanganywa na Mahera wa TFF kuwa wataiba Points hata wasipoingia Uwanjani. TFF ni kama NEC tu
Nafasi hii ya kimataifa ilikuwa fursa kwa Biashara ila hakukuwa na mtu wa kuwaongoza.

Timu tayari ilikuwa imejulikana kimataifa, jambo ambalo lilikuwa ni fursa.

Hii ndio bongo bana, ukitaka kuinuka unapigwa ngwala
 
Sema hakuna mwenye akili hata mmoja
 
Back
Top Bottom