Faini ya kujifungulia nyumbani, hii imekaaje?

MUTUYAMUNGU

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,825
Reaction score
4,374
Ukizalia nyumbani faini elfu 30.

Huku vijijini tunanyanyasika sana. Watu wa Dar mtusaidie kupaza sauti!!!!!!

IMG-20220518-WA0019.jpg
 
Hiyo Tisa kumi ukifika kata ya Matamba Makete . Yaani kule kuna visheria vingi vya ajabu sana. Zahanani ina vikorokoro kama nini, ukimpeleka mke kujifungua
  • Lazima uweke laki moja mezani ya dharura
  • Ukijifungua nyumbani fine
  • Usiookwenda na nguo nyingi mkeo akijifungua hawakupi mpaka upeleke pesa.
n.k, n.k
 
Dah, nchi ngumu hii.
 
Duh!
 
Tatizo watu mnaongea kwa mihemuko.
Fine zipo ku discourage kitu fulani, hata hyo fine ni ku discourage watu kuzalia nyumbani kwa sababu kuzalia nyumbani kunahatarisha zaidi maisha ya mama na mtoto..
Hicho ni kitu cha kawaida sana hasa maeneo ya vijijini. Tuache kuishi kizamani
 
nimejaribu kuwaza ikitokea mama aliejifungulia nyumbani amefariki watakuja msibani kudai faini ya kuzalia nyumbani??
 
Back
Top Bottom