Faini ya kujifungulia nyumbani, hii imekaaje?

Hiyo Tisa kumi ukifika kata ya Matamba Makete . Yaani kule kuna visheria vingi vya ajabu sana. Zahanani ina vikorokoro kama nini, ukimpeleka mke kujifungua
  • Lazima uweke laki moja mezani ya dharura
  • Ukijifungua nyumbani fine
  • Usiookwenda na nguo nyingi mkeo akijifungua hawakupi mpaka upeleke pesa.
n.k, n.k
 
Dah, nchi ngumu hii.
 
Duh!
 
Tatizo watu mnaongea kwa mihemuko.
Fine zipo ku discourage kitu fulani, hata hyo fine ni ku discourage watu kuzalia nyumbani kwa sababu kuzalia nyumbani kunahatarisha zaidi maisha ya mama na mtoto..
Hicho ni kitu cha kawaida sana hasa maeneo ya vijijini. Tuache kuishi kizamani
 
nimejaribu kuwaza ikitokea mama aliejifungulia nyumbani amefariki watakuja msibani kudai faini ya kuzalia nyumbani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…