Tujitahidi kufika vituo vya afya kwa usalama zaidi.
Hii ya kudiscourage hizo faini haitasaidia, bado kujifungulia kituo cha afya ni muhimu kuliko nyumbani, likitokea la kutokea ukiwa nyumbani si rahisi kusaidika kwa haraka kuliko ukiwa kituo cha afya.
Hizo faini zipo ili kuzuia watu kujifungulia nyumbani, tunajijua wabongo uhuru ukizidi huwa ni majanga.